Mtanzania haswa
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 663
- 99
Una maana gani hapo pekundu? wageni watudi kwao ama?
Russian..haki kasema ardhi isiuzwe kwa wageni. basi. wewe ndo unasema wageni warudi kwao.
Una maana gani hapo pekundu? wageni watudi kwao ama?
tupo pamoja mkuu,zidi kutupa updates na tutakua pamoja ktk kuisave TANZANIA YETUTupo ktk progress. Tunataka nguvu zenu kwa wingi. Tunataka VIJANA ndiyo wachukue uongozi wa nchi.
Note: Hatupo ktk Chama Chochote Cha Kisiasa Nchini.
Tunataka kuanza upya. TZ WAKE UP
Mpango maalum unakuja wa KuOccupy Mnazi Mmoja Dar, Dodoma Bungeni unakuja TZ.
Dhumuni:
Vijana tunataka Rushwa iondolewe Serikalini
Ardhi Isiuzwe kwa Wageni
Tofauti kati ya Maskini na Tajiri Ipunguzwe
Na mengi yote
Note: Hatuna Uhusiano na Chama Chochote cha Kisiasa
Tunaomba taarifa rasmi mkuu maana sijajua ni kina nani wanaoorganize hiyo occupation na mpango mzima unafanyika wapi? ufafanuzi tafadhali
Samahani, nimekosea. Sasa wageni wasipo nunua ardhi itakuaje? na wale wamesha nunua wafanyeje? tunafata utaratibu wa nchi gani ambapo wageni hawaruhusiwi kumiliki ardhi? embu tujuzeni, maana sisi hatujatembea sana...Russian..haki kasema ardhi isiuzwe kwa wageni. basi. wewe ndo unasema wageni warudi kwao.
wewe utakuwepo pale?? au ndio yaleyale ya washington??Mpango maalum unakuja wa KuOccupy Mnazi Mmoja Dar, Dodoma Bungeni unakuja TZ.
Dhumuni:
Vijana tunataka Rushwa iondolewe Serikalini
Ardhi Isiuzwe kwa Wageni
Tofauti kati ya Maskini na Tajiri Ipunguzwe
Na mengi yote
Note: Hatuna Uhusiano na Chama Chochote cha Kisiasa
hivi mwarab wa kampuni ya oil com ni mtanzania?nina uhakika si mtanzania.kapewaje maeneo yote hayo ya vituo vya mafuta?
mbona husemi siku na muda?Au itakua saa 9 usiku?
Wahenga Mpo?Watanzania waoga sana hawatatokea,!!