Occupy Mnazi Mmoja Dar, Bungeni Dodoma, Inakuja TZ Jiandae

Haki

JF-Expert Member
Jan 14, 2009
356
17
occupy.jpg

Mpango maalum unakuja wa KuOccupy Mnazi Mmoja Dar, Dodoma Bungeni unakuja TZ.

Dhumuni:

Vijana tunataka Rushwa iondolewe Serikalini

Ardhi Isiuzwe kwa Wageni

Tofauti kati ya Maskini na Tajiri Ipunguzwe

Na mengi yote

Note: Hatuna Uhusiano na Chama Chochote cha Kisiasa

Angalia: http://www.occupydar.blogspot.com
 
Mpango maalum unakuja wa KuOccupy Mnazi Mmmoja Dar, Dodoma Bungeni unakuja TZ.

Dhumuni:

Vijana tunataka Rushwa iondolewe Serikalini

Ardhi Isiuzwe kwa Wageni Wowote

Tofauti kati ya Maskini na Tajiri Ipunguzwe

Na mengi yote

Note: Hatuna Uhusiano na Chama Chochote cha Kisiasa
Una maana gani hapo pekundu? wageni watudi kwao ama?
 
Mpango maalum unakuja wa KuOccupy Mnazi Mmmoja Dar, Dodoma Bungeni unakuja TZ.

Dhumuni:

Vijana tunataka Rushwa iondolewe Serikalini

Ardhi Isiuzwe kwa Wageni Wowote

Tofauti kati ya Maskini na Tajiri Ipunguzwe

Na mengi yote

Note: Hatuna Uhusiano na Chama Chochote cha Kisiasa
siku hizi hata mniambie kuna maandamano ya mei mosi siawaamini watanzania.... hadi nione wako mitaani

OK
 
Mnatuzingua tu. Halafu sentensi zako hazijapangwa ipasavyo kufikisha taarifa.
Hebu i-edit kwanza ndo upost.
 
Mpango maalum unakuja wa KuOccupy Mnazi Mmmoja Dar, Dodoma Bungeni unakuja TZ.

Dhumuni:

Vijana tunataka Rushwa iondolewe Serikalini

Ardhi Isiuzwe kwa Wageni Wowote

Tofauti kati ya Maskini na Tajiri Ipunguzwe

Na mengi yote

Note: Hatuna Uhusiano na Chama Chochote cha Kisiasa
..Unaonekana ulikuwa na Haraka sana ya kupost huu uzi..kwenye RED sijakusoma kabisa..
 
Hata kama hamuhusianai na chama chochote si neno. Jambo la muhumu ni kufikisha madai halali kuhusu nchi yenu. Chama au vyama si muhimu sana.
 
KuOccupy? angalia News ili ujue mafanikio ya KuOccupy.

Neno limetokana na mpango uliopo USA, "Occupy Wall Street"

Tuna Occupy Mnazi mmoja kwa sababu mnazi mmoja kuna historia kubwa sana ya TZ, na Tuna Occupy Bungeni Dodoma kwa sababu ndiko kwenye Ujinga wa Serikali yetu.
 
Hizi sio zile zile za kuandamana tanzania nzima na hatujaona kitu? Watanzania tulioko JF na kuona thread hii ni wachache mno, sambaza ujumbe pia kwa medias, twitter, facebook etc
 
haki inapotea.
Haki haijui haki.
Haki hautupi haki.
Haki ni ya nani?
Maneno yako na haki havifanani.
 
mbona husemi siku na muda?Au itakua saa 9 usiku?

Tupo ktk progress. Tunataka nguvu zenu kwa wingi. Tunataka VIJANA ndiyo wachukue uongozi wa nchi.

Note: Hatupo ktk Chama Chochote Cha Kisiasa Nchini.

Tunataka kuanza upya. TZ WAKE UP
 
Nahisi kama umechanganyikiwa. Huwa mapinduzi hayafanywi kama wewe unavyotaka.

Uandishi wako unanipa tabu kukuelewa, umeshindwa kuandaa hoja vizuri na kuziwasilisha. Unakurupuka tu.

Jipange tena, urudi na hoja zilizoshiba.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom