Unataka kumfananisha Wasira na Obama? Kwa lipi? Sura?Tusiwalaumu wazungu hata Tanzania kuna watu kwa kushindwa kwao tu wamefikia kumfananisha Wasira na Sokwe. Kumbuka kuwa hawa wote ni Watanzania.
Ni chuki za kijinga tu.
Unataka kumfananisha Wasira na Obama? Kwa lipi? Sura?
Una miaka mingapi?
Mia moja.
Mia moja.
Ndiyo maana, ukikuwa utaacha.
Wanaomfananisha na gorilla ni hao wazungu waliofeli, ambao hata hawajitambui. Obama ni kichwa zaidi yao, ndio maana akakubalika hata awamu ya pili kuwaongoza hao wanaomfananisha na Gorilla. Hawana jipya hao, ni wivu tu.
Ila mimi nawafananisha wazungu na Kitimoto,hadi harufu zinafanana
Msingida, kama unaamini kwamba Obamas wanafana na gorilla, basi jua kwamba Hata wewe unafanana nao.