Obama's speech

Obama's speech

Mpevu

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2010
Posts
1,803
Reaction score
179
Wadau,
Kuna moja ya khotuba alizowahi kutoa Obama mwaka 2009 akiwa Cairo, speech ambayo inasemekana kuwa ni maarufu sana katika Muslim world and midle east at large. Je kuna yeyote anaweza kunijuza jinsi gani naweza kuipata speech ile na nipate maudhui yake?
Natanguliza shukran.
 
Thanks Ivuga,
nimeipata mkuu wangu.
 
Back
Top Bottom