Baada ya kuona hizi picha nimecheka sana, as hata mimi napenda sana kuweka miguu juu, iwe Bar au ofisini, ila kama hiyo ni ishara ya 'uvivu' au 'kutokuwa serious' as mwanzilisi wa maada anavodai, basi na mimi ni mvivu namba moja, unles otherwise mimi kwangu ni ishara ya KUJIAMINI period!, and has got nothing to do na 'uvivu' u-serious, napiga kazi vyema tu.