Obama's Profound Disrespect For The Presidency

Obama's Profound Disrespect For The Presidency

Propaganda at work. Kwangu mimi hata akiukosa urais kwa mara ya pili lakini Obama amepunguza kwa kiasi kikubwa kiburi cha wamarekani weupe. Wapumbavu sana hao na ndiyo maana wameanza kampeni mapema ili kumwondoa.

Sawa lakini bado uchumi unateketea. Tena basi wanaopigika wakati huu wa Obama ni watu weusi kuliko wamarekani weupe. Kaangalie unemployment rates za weusi ukilinginisha na za wamarekani weupe.
 
Acha ajiachie, he've confidence, so he can do whatever he likes..Kula maisha mzee obama.
 
Baada ya kuona hizi picha nimecheka sana, as hata mimi napenda sana kuweka miguu juu, iwe Bar au ofisini, ila kama hiyo ni ishara ya 'uvivu' au 'kutokuwa serious' as mwanzilisi wa maada anavodai, basi na mimi ni mvivu namba moja, unles otherwise mimi kwangu ni ishara ya KUJIAMINI period!, and has got nothing to do na 'uvivu' u-serious, napiga kazi vyema tu.
 
Kama huoni tofauti ya picha uliyoweka na za OBama basi tena. Nixon hapo juu anaonekana kabisa anachapa kazi au anasoma kitu. Picha za Obama zinaonyesha kama mchovu fulani aliyeshindwa kazi. Ziangalie tena uone tofauti maana naona upo desparate kumtetea Obama.
Unajichanganya. One of the managerial or leadership tasks is to give orders(via the phone, e-mails, meetings etc) and monitor the execution of the process. Thanks
 
Haya yoote ni mauji makubwa yanaua tuu hovyo kabisa mashetani kabisa...
 
Inaelekea kkwa wenzetu ni jambo la kawaida kama ushoga ilivyo
 
Back
Top Bottom