Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,101
- 34,916
Rais Barrack Obama
Rais Barrack Obama amesema kuwa ushahidi unaonyesha kwamba ndege ya Malaysia Airline iliokuwa ikisafiri kutoka Amstaderm kuelekea Kuala Lumpur ilitunguliwa na
kombora lililorushwa kutoka eneo linalodhibitiwa na waasi wanaounga mkono Urusi.
Rais Obama amesema kuwa kitendo hicho kinatia hasira na kwamba waasi hao wamekuwa
wakipokea usaidizi kutoka kwa Urusi ikiwemo makombora ya kuangusha ndege.
Obama ametaka usitishwaji wa vita nchini Ukraine ili kutoa fursa ya shirika huru la kimataifa kuchunguza kilichojiri. Chanzo.BBC
Double standard na upuuuzi mtupu.
Mbona hakemei mauaji ya Israel dhidi ya Palestinians.
Na wao ndio wanawapa silaha Israel, tena hizo ndege zao F16 and F15 zinavunja majumba,Hospital, School na ubaya zaid zinauwa watoto wachanga na wanawake tu, huwezi kuona wameuwa macomonder wa Hamas au Hazbullah hata siku moja.Double standard na upuuuzi mtupu.
Mbona hakemei mauaji ya Israel dhidi ya Palestinians.
Huu ni mfano mmojawapo wa madhara ya division 5.
Endelea kutukana mkuu
Sina mjadala na mtu ka ww bhana jichenge hunsaidii kitu hunijui sikujui usikute ww ndo big results nw,,,,punguza viroba vya asubuhsubh
Sawa mkuu. Nitaacha viroba.
Sawa ndguJamani wanandugu shida ninini mbona matusi tenaa? He taratibu Wakubwa tuwe na staha jamani.
mauaji ya wale vjana wa3 wa kiisrael hamkulaani halafu a laani nn ssa,,,
mku 65 ni nini hahahaa
Kombora kutoka katika eneo linalomilikiwa na waasi sio lazima lipigwe na waasi au russia inawezekana kabisa ni Ukraine au hata majasusi ya kimagharibi.
Obama anaongea bila evidence!
Ukishaona chanzo, ABC, BBC, CNN, AP... unatambua vyombo vya propaganda ambavyo vinaaminiwa na watu wengi duniani vipo kazini! Na baada ya muda dunia itawageukia warusi ikiamini kile kilichosemwa na upande wanaouamini huku wakisahau Somalia, Iraq, Libya, Palestina, Mali, Afrika ya Kati nini kinatokea na kimesababishwa na kina nani!!!
Rais Barrack Obama
Rais Barrack Obama amesema kuwa ushahidi unaonyesha kwamba ndege ya Malaysia Airline iliokuwa ikisafiri kutoka Amstaderm kuelekea Kuala Lumpur ilitunguliwa na
kombora lililorushwa kutoka eneo linalodhibitiwa na waasi wanaounga mkono Urusi.
Rais Obama amesema kuwa kitendo hicho kinatia hasira na kwamba waasi hao wamekuwa
wakipokea usaidizi kutoka kwa Urusi ikiwemo makombora ya kuangusha ndege.
Obama ametaka usitishwaji wa vita nchini Ukraine ili kutoa fursa ya shirika huru la kimataifa kuchunguza kilichojiri. Chanzo.BBC
Haitatokea hata siku moja akemee, kwa sababu hata WAYAHUDI asili wananyanyasika ndani ya Israel wakiwemo MAYAHUDI MAFALASHA waliotoka Ethiopia hakuna mtu analiona hilo wala kukemea pia. WANAOFANYA MAUAJI KOTE MASHARIKI YA KATI NI MAYAHUDI TOKA ULAYA.Double standard na upuuuzi mtupu.
Mbona hakemei mauaji ya Israel dhidi ya Palestinians.