Bowie
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 4,373
- 6,086
Rais mteule wa ufaranca Emannuel Macron ameapishwa rasmi leo. Kuapishwa kwake kunatabiriwa kutaleta mabadiliko makubwa kwa sera za nje za nchi hiyo. Rais huyo mwenye umri wa miaka 40 ni mtu anayetaka Ufaransa kuendelea kuwa kwenye EU na anataka jumuia hiyo kujiimarisha zaidi baada ya Uingereza kujitoa. Rais Macron ni kijana sana na ana mvutio kama Rais mstaafu Barack Obama.
Rais Macron alitoa ahadi ya kuzuia nchi hiyo kujihusisha na vita kwenye nchi nyingine kama alivyofanya mtangulizi wake Sakharov ambaye alivamia Libya na kuangusha utawala wa Ghadaffy.
Rais Macron alitoa ahadi ya kuzuia nchi hiyo kujihusisha na vita kwenye nchi nyingine kama alivyofanya mtangulizi wake Sakharov ambaye alivamia Libya na kuangusha utawala wa Ghadaffy.