Obama vs Kikwete

Africa maisha nje ya utawala magumu sana
Nyumbu hamna akili vilaza, ubongo kiduchu, bichwa kubwa...
Kikwete akisema kiti, ohhh huyu mzee akalee wajukuu
Wakati Obama kila siku anampopoa Trump

 
Kuna mafisadi zaidi ya wanasiasa wa Kenya?

Matajiri wakubwa Kenya ni wanasiasa, fuatilia utajua vyema.

Hayo unayoyaona ni maigizo tu ila kiuhalisia bado nchi za kiafrika hazijakuwa kufikia level za hao tunaojilinganisha nao.
Lini utapata akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…