Obama visit in Kenya

Alshaab nao watakuwa wamepani sana,lazima watakuwa wanajiandaa sana
 
Chuki zako kwa Wahayudi hukuanza wewe bali hata Allah wako anaye dai kuwa ni Muumbaji, amejaa hizo chuki kwa Wayahudi na Waafrika par seh. In fact, ni vigumu sana kuona Waarabu weusi ingawa Waarabu ndio walikuwa Mstari wa mbele katika biashara ya Utumwa.

British colonial official with Islamic slave traders in Zanzibar. On the far right is Hamad bin Mohamed bin Jumah bin Rajab bin Mohamed bin Said al-Murghabi, more commonly known as Tippu Tip. He was the most notorious Islamic slaver. al-Murghabi died in 1905.

Zaidi ya hapo, kuna mabaya mengi sana yalifanywa na hao unao waabudu katika biashara haram ya viumbe

Is there anything good in Islam? Can you mention one good thing done by your religion? I bet not.

See this link. Black Jews Gain Wider Acceptance - News â€" Forward.com
 
Last edited by a moderator:
cc Nonda
Chuki zako kwa Wahayudi hukuanza wewe bali hata Allah wako anaye dai kuwa ni Muumbaji, amejaa hizo chuki kwa Wayahudi na Waafrika par seh. In fact, ni vigumu sana kuona Waarabu weusi ingawa Waarabu ndio walikuwa Mstari wa mebeke katika biashara ya Utumwa.

British colonial official with Islamic slave traders in Zanzibar. On the far right is Hamad bin Mohamed bin Jumah bin Rajab bin Mohamed bin Said al-Murghabi, more commonly known as Tippu Tip. He was the most notorious Islamic slaver. al-Murghabi died in 1905.

Zaidi ya hapo, kuna mabaya mengi sana yalifanywa na hao unao waabudu katika biashara haram ya viumbe

Is there anything good in Islam? Can you mention one good thing done by your religion? I bet not.

See this link. Black Jews Gain Wider Acceptance - News – Forward.com
 
Last edited by a moderator:
Hahaha...hiyo yote ni kuwaogopa Al Shabaab,
 
One good thing done by Paulo was to tell the zombies that a human being is God incarnate. What about that?

:becky:
 
Last edited by a moderator:
Mkuu #kitali , ww ndo upo mbali fatilia vizuri utapata jawabu..hii ilidhihirishwa na watu makini wengine waliohusika, katika reference zako kama utafatilia usisahau documentary moja inaitwa 'did we land on the Moon'

Tajiri mdogo wa South Africa shuttle wealth miaka iliyopita alikua huko mwezini ww unataka kusema nn? Tunaona ajali za vyombo ivyo na watu ndani? Leo hii 2015 unaongea kitu kama icho kweli?
 
Alshaab nao watakuwa wamepani sana,lazima watakuwa wanajiandaa sana

Alqaida ndio waliwasumbua wama rekani..alshabab hawawezi na hawatadhubutu kufanya chochote,john kely anaenda iraq,siria,afghanistan sehem zote hatarishi ulinzi upo juu sana.
 
kutembea au kupita njia? ujinga tu, baba yake kazaliwa hapo na yeye ana haki ya kuomba uraia wakenya lakini ati masaa 8 tu...bora asije zogo la kazi gani.
Bibi yake juzi alienda hija labda hataki kwenda kijijini kwao ..infiriority complex...ina muhangaisha
 
Ratiba hapangi yy,mlidhani akiwa rais kwa kuwa ana chembe chembe za ukenya basi kila siku kenya? Kwa ss analitumikia Taifa la marekani, wenzenu walipomuona ana akili sana walimuweka ktk basket yao ya watu makini ny ny mlimdharau leo mnalalamika. Ametumwa na taifa lao kufanya kazi ya wamarekani na si wakenya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…