Obama to visit Africa...snubs Kenya again!

Mmmmmm,,,,,mr Obash,,,just visiting these three or four country of Africa,,,,without
bringing any difference to them,,,just some,,,,,,empty speeches,,,,as usual.

We deceived ourselves that,,being the first American president of African decent,,
that we were going to see some difference in how the west has been treating
Africa,,,,but what have we been getting,,,, only empty speeches and preachings,,
which doesn't make any difference to any one in,,,,,,,,, Africa.

So to hell with him,,,,he can even go for an African tour where he visits all
African countries,,,except Kenya,,,and see if that can cause,,,Kenyans to
suffer.

We are smarter than he thinks,,,,refusing even to visit his grandmother
for the simple reason,,,,that,,cousin Raila never became the president
as he had,,,programed,,let him first,,,solve all the problems facingthe
America before the end of his term,,,,,and leave us alone,,for only us
can solve our problems.:yell::)

You sound so emotional
 
WASHINGTON

President Barack Obama will go on a first African tour next month, visiting Senegal, Tanzania and South Africa, but his itinerary released on Monday bypasses Kenya, an ancestral homeland.

Obama disappointed many Africans by spending only a few hours in sub-Saharan Africa -- in Ghana -- during his first term, but is keen to implement a sweeping new regional strategy, prioritizing democracy and economic reform.

Speculation will centre on whether America's first black president will see ailing 94-year-old South African anti-Apartheid icon Nelson Mandela, on a trip on which he will be accompanied by First Lady Michelle Obama.

The White House said the long-awaited visit was intended to underscore Obama's "commitment to broadening and deepening cooperation between the United States and the people of sub-Saharan Africa" to advance peace and prosperity.

Obama will meet officials, businessmen, and civil society leaders, including young people, on the trip between June 26 and July 3 -- an unusually long journey for a president who normally dashes across timezones on trips abroad.

But early scrutiny will concentrate as much on where he will not go in Africa, as his planned stops, with Kenya, the land of Obama's late father, where he still has living relatives, a glaring omission.

Obama frequently uses his past and background to connect with foreigners, remembering his childhood stays while in Indonesia, his Irish heritage in Ireland, and as a Hawaii native, posing as America's "first Pacific president."

But politics appears to have scuppered hopes for Obama to reconnect with his roots in Kenya.

It would likely be seen as unseemly for Obama to appear with Uhuru Kenyatta, elected president in March, who will go on trial in July at the International Criminal Court (ICC) for crimes against humanity in post-election violence in 2007-08.

An administration official said on condition of anonymity that Kenyatta's election had been a complicating factor in setting Obama's schedule in Africa.
 
Rais Obama haendi Kenya .kwa nini wakenya wanasema kisa ni mjaluo Mara wakikuyu yupo in power Mara Tanzania washamba Yaani ukisoma blog zao wamechanganyikiwa kwa ujio Huu.ukabila unaingiliaje na Obama ,Nyie mnaona sababu gani Obama by passed Kenya .
 
obama haendi kenya kwa sababu uhuru kenyata kachaguliwa kua rais wa kenya na magharibi walikua hawamtaki sababu alikua ana kesi kwenye mahakama zao kwa lugha rais unaweza sema wali mtengenezea mazingira ondinga awe rais but haikua kwao ni fedheha sana kwa kuja kenya ni kujitafitia matatizo
 
Wivu kiroho papo ni sifa ya wakenya wengi ila hainahaja ya kuwa hukumu kwa hilo,leo mchana nimeskiliza DW idhaa ya kiswahili wamesema kunaafisa mwandamiza katika white house hakutaka jina lake litajwe amekaririwa akisema walipata shida sana kupanga safari za Obama Afrika hasa nchini Kenya kutokana nakesi inayowakabiri Uhuru pamoja na mwenzie Ruto ktk mahama ya icc
 
nashangaa wanaofurahia obama kuja tz,hv ujio wa wake unamaanisha nn?na kama haend kenya et kwa sababu odinga alikua kibaraka wao na alishndwa kwenye uchaguzi,bas kumbe anakuja tz sababu kuna viongozi wanaofavour maslah ya marekan na washlika wake.mm sion sababu ya kufurah et obama anakuja.obama haj kushusha naul wala bei ya mafuta na hal ngumu ya maisha kwa watanzania.
 
Kenya nao watu wa kujisahau sanaaa..

kwani ni lini kiongozi mashuhuri na muhimu duniani aliwahi kwenda kwao?...nakumbuka miaka ya 90's pope yohane paul ii alikuja africa mashariki na hakwenda kenya bali tanzania.
..kenyans wake up...kuna kitu tuuuuu...jichunguzeni vizuri inawezekana nyumba yenu chafu wageni wanaogopa kuja.

By the way...hivi akienda kenya atalala wapi?...wana hotel ya kulaza maraisi wa dunia au ndio wanapiga kelele tuuu sie ni economy engine ya east africa mara ohhhh tourism tuko juuu mara ohhh we r develope nation in east africa blaaaaahblaaaaahhhhh?...sie tunayo alikuja bush akalala akaja rais wa china akalala now anakuja obama....jiraniiiiiiiiii...poleni sana...muje mumuone hapa kwetu the "taifazzzzzz"...ahahaha "ke-"nyani-sssssss"
 
nashangaa wanaofurahia obama kuja tz,hv ujio wa wake unamaanisha nn?na kama haend kenya et kwa sababu odinga alikua kibaraka wao na alishndwa kwenye uchaguzi,bas kumbe anakuja tz sababu kuna viongozi wanaofavour maslah ya marekan na washlika wake.mm sion sababu ya kufurah et obama anakuja.obama haj kushusha naul wala bei ya mafuta na hal ngumu ya maisha kwa watanzania.

hata angekuwa anakuja kututandika viboko ..ila jirani yetu roho inamuuma kwanini haendi kwao...jirani siku zote huwa anajiona yuko juu yetu kwa kila kitu soo anashangaa kwanini sie choka mbaya tunaheshimika na ulimwengu unakuja kuchota busara zetu...

Ni sawa na tajiri ana mtoto wa kike na kila kitu ila haolewi ila watoto wa jirani yake ambao yeye anawaona ni masikini wa kutupa wanaolewa tena na mabwana wa kishua toka magharibi ya mbali na heshima zinaenda nyumbani kwa jirani na sio kwake tajiri.

Yeye obama aje...achukuwe uranium, gas, na utajiri wetu ila kwanini mtani jirani roho inamtoka??
 
obama haendi kenya kwa sababu uhuru kenyata kachaguliwa kua rais wa kenya na magharibi walikua hawamtaki sababu alikua ana kesi kwenye mahakama zao kwa lugha rais unaweza sema wali mtengenezea mazingira ondinga awe rais but haikua kwao ni fedheha sana kwa kuja kenya ni kujitafitia matatizo

Hiyo inaweza kuwa sababu lakini kwangu binafsi haina mashiko sana!Hakuna nchi ya magharibi iliyotaka Muhhamad Mursi wa Muslim Brotherhood ashinde uchaguzi wa Misri lakini as soon as alipochaguliwa Hilaly Clinton akatua Cairo hii ni kutoka na kuwa Misri inamaslahi makubwa kwa wamarekani katika uwepo wa Israeli na amani ya mashariki ya kati!

Turudi kwenye point sasa! Ujio wa Xi Jinping Tanzania na kuifanya ndiyo nchi ya Kwanza Afrika kuitembelea na ya pili kwa ulimwengu umeamsha hisia kali sana kwa wamagharibi na Marekani akiwemo!Dunia nzima inajua uwepo wa rasilimali ya Gesi na kwa ujazo mkubwa kabisa hapa Tanzania. Pia imeshasemekana kuwa mchina anampango wa kuwepo na navy camp kwenye pwani ya Africa mashariki. Mimi kwa upande wangu naona ziara ya huyo Mjaluo hapa nchini ni purposely kwa issue hizo na wala si kwasababu Kenya kuna Kenyata!Swali ni kwamba mnafikiri anakuja Tanzania kwasababu anawapenda sana au anakuja kushangaa mlima Kilimanjaro na Serengeti? Tafakarini watanzania hatuna chetu.
 
Uhuru Kenyatta is facing serious charges of crime against humanity at the Hague....Do I have to elaborate more?
 
hata angekuwa anakuja kututandika viboko ..ila jirani yetu roho inamuuma kwanini haendi kwao...jirani siku zote huwa anajiona yuko juu yetu kwa kila kitu soo anashangaa kwanini sie choka mbaya tunaheshimika na ulimwengu unakuja kuchota busara zetu...

Ni sawa na tajiri ana mtoto wa kike na kila kitu ila haolewi ila watoto wa jirani yake ambao yeye anawaona ni masikini wa kutupa wanaolewa tena na mabwana wa kishua toka magharibi ya mbali na heshima zinaenda nyumbani kwa jirani na sio kwake tajiri.

Yeye obama aje...achukuwe uranium, gas, na utajiri wetu ila kwanini mtani jirani roho inamtoka??

by the way........Who Cares?!!!!!!!lol
 
Back
Top Bottom