Obama-State of the Union Address | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Obama-State of the Union Address

Discussion in 'International Forum' started by Shadow, Feb 25, 2009.

 1. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #1
  Feb 25, 2009
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  President Obama anahutubia all three arms of government. This is his first State of Union Address. Naona hotuba yake imezingatia zaidi katika masuala ya uchumi wa marekani.

  Kufuatilia zaidi, bofya hapa:Obama speech: 'We will recover' - CNN.com

  Shadow
   
 2. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #2
  Feb 25, 2009
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  I know that this may sound like nitpicking lakini nimeona ni vyema kukurekebisha, hii siyo State of the Union address, kwani bado hajatawala na kuweza kutoa assesment ya State of the Union, atatoa hotuba yake ya kwanza ya State of the Union mwakani 2010. Hotuba yake hii ni hotuba yake ya kwanza kwa new Congress. But it sure feels like a State of the Union!
   
 3. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #3
  Feb 25, 2009
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Jindal anataka kujifananisha na Obama kachemsha kinoma, yaani yeye alikuwa na predetermined reaction ambayo imeonekana out of date maan kila kitu Obama kamaliza. Mwanzo walijifanya kuweka msimamo ila wakajikuta wenyewe wanasimama na kupiga makofi. Kama uongozi ni communication huyu jamaa ni best.
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Feb 25, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,670
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Yaaaaaaaaaaawwwwwwwwwning
   
 5. Pundamilia07

  Pundamilia07 JF-Expert Member

  #5
  Feb 25, 2009
  Joined: Oct 29, 2007
  Messages: 1,433
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Laiti Jindal angeliweza ku-widraw ile 'documentary' yake nadhani angefanya hivyo haraka, lakini it was a fatal mistake ambayo itamkaa kwenye kichwa chake kwa miaka mingi ijayo. Probably a force behind it was 'indian manipulations', anyway mamilioni ya siyo kuwa na kazi ndiyo yameshaliwa na CNN
   
 6. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #6
  Feb 25, 2009
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Ngojeni nikawachokeze Nyani na Ukweli... nitapost thread ya Bobby jindal na mchemsho wake wa leo.... kwikwikwiiii
   
 7. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #7
  Feb 25, 2009
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Naona Jaluo Jeuri ameshafunga goliiiiii! Akina Nyani walianza kufurahia kushuka kwa umaarufu wa Obama, kumbe ndo alikuwa anatayarisha kiboko chake.... his poll numbers are up again!

   
 8. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #8
  Feb 25, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,670
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Naona mko obssessed sana na polls na focus groups....mnaangalia polls halafu ndo mnafanya maamuzi. Nilidhani campaign season imekwisha kumbe watu bado wako kwenye campaign.

  Great leadership that's driven by convictions
   
 9. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #9
  Feb 25, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,921
  Likes Received: 83,431
  Trophy Points: 280
  Republicans wana safari ndefu sana maana yule Gavana Jindal aliyetoa hotuba kwa niaba yao alijikanyakanyaga vibaya sana hata Sarah Pallin :) angefanya kazi nzuri. Kama huyo Jindal ndiyo sura waliyoamua kuitumia ili kuwavutia immigrants kwenye chama chao basi wamepiga chini inabidi watafute replacement haraka sana kabla hali haijawa mbaya zaidi.
   
 10. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #10
  Feb 25, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,921
  Likes Received: 83,431
  Trophy Points: 280

  Ha ha ha msije mkazitumia polls hizo hizo mara zitakapokuwa mbaya dhidi ya Obama. Just thinking aloud :)
   
 11. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #11
  Feb 25, 2009
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Mmh, huyu Nyani my friend ni mnafiki, na ulivyo'think aloud' ndivyo alivyofanya! Alipandika ile poll ya jana ya Gallup katika thread nyingine na rafiki ya Ukweli! Sasa yamewashuka, kwikwikwiiii
   
 12. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #12
  Feb 25, 2009
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Bubu, cjui Invisble ameshaunganisha thread niliyoanzisha ya Bobby Jindal, kaitafute uone jinsi walivyopatwa na emergency GOP! :D Maana jamaa ni uncharismatic na weird haswa! Hana soko kabisaaa!
   
Loading...