Faida ya kuwa na Rais makini hiyo!
Sio raisi Makini, bali watendaji na watu wa state house makini, hizo move saa nyingine zinafanyika bila haa ya rais kujua
Rais makini ana utaratibu mzuri wa kupata taarifa zisizoridhisha kuhusu mwenendo wa watendaji wake na huchukua hatua!
Faida ya kuwa na Rais makini hiyo!