Obama secret service agent found drunk.

Obama secret service agent found drunk.

bily

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
8,029
Reaction score
5,813
Three US Secret Service agents tasked with protecting President Obama in Netherland have been sent home for displinary reasons.

The Washington Post reported that one was found drunk and passed out in the hallway of an Amsterdam hotel,
A secret Service spokeman decline to give details but said the three had been put on administrative leave pending an investigation.

OTHER PREVIOUS SCANDAL :
In 2013 two agents were removed from President Obama's Security detail amid allegations of sexual harassment and misconduct,

Also in 2012 several agents were dismissed following allegations that they hired prostitutes while in Cartagena Colombia.

Source: Washington Post and BBC NEWS.
 
Watu anaojua kufanya kazi,,,,huyu agent inaonesha alikua nae akichunguzwa,,,,
Ni kama wale waliookota malaya Colombia,,,,
Ukiangalia series ya NIKITA ndo utajua kuwa watu wa system wanavyofanya kazi,,,,wewe unampeleleza au kumchunguza mtu,kumbe na wewe mchunguzaji unachunguzwa
 
Mkuu hapa umenena jamaa walipewa kazi kumbe kuna watu wengine pia wakapewa kazi ya kuwachunguza nyendo zao.

wewe unampeleleza au kumchunguza mtu,kumbe na wewe mchunguzaji unachunguzwa
 
to me it looks everyone is drunk in US GOVT. do you not see their plans for more and more wars?
 
Mkuu hapa umenena jamaa walipewa kazi kumbe kuna watu wengine pia wakapewa kazi ya kuwachunguza nyendo zao.

ndo moja ya characteristics of SECRET AGENCY
SIO KUSHINDA HONGERA BAR NA KUONESHANA VITAMBULISHO
 
Jarida la Washington Post nchini Marekani limeripoti kwamba askari watatu ambao ni walinzi wa president wameachishwa kazi kwa muda na kurudishwa nyumbani ili uchunguzi ufanyike.

Askari mmoja kati ya hao alikutwa amelewa pombe chakari kwenye hoteli moja huko Amsterdam ambapo Obama alienda kwa ajili ya mkutano wa mambo ya Nuclear.

Msemaji wa idara ya upelelezi Marekani alikataa kutoa taarifa zaidi kuhusu tukio hilo ingawa alisisitiza kuwa watatu hao wameachishwa kazi kwa muda huku uchunguzi ukiendelea.

Mwaka 2013 majasusi wawili waliondolewa katika kikosi cha ulinzi cha Rais Obama kufuatia tuhuma za kuhusika na kashfa ya ngono na utovu wa nidhamu.

mlinzi.jpg


Mwaka 2012 majasusi kadhaa waliachishwa kazi kufuatia madai kuwa walikodi makahaba walipokuwa mjini Cartagena Colombia.
 
tatizo kubwa kwa wabongo ni sifa na majivuno na starehe Watz sisi wavivu sn tunapenda sn njia mkato kuliko kutafuta possible solution ya kufikia malengo yaliyowekwa.

ndo moja ya characteristics of SECRET AGENCY
SIO KUSHINDA HONGERA BAR NA KUONESHANA VITAMBULISHO
 
watumishi watakatifu wana ma'bodyguard kibaka kama mimi nalindwa na iridhi za God.
 
Back
Top Bottom