technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,716
- 58,860
Naunga mkono hojaBarack Obama Rais wa marekani kupitia chama cha Democratic amesema Jana kuwa Trump ni mbaguzi wa hali ya juu na hawezi kuwa Rais wa taifa kubwa kama marekani .
Amesema video iliyovuja na kuonyesha akiwazalilisha wanawake imemfanya asiweze kuaminika tena hata na watu wachache waliokuwa bado wanaimani naye..
Amesema pia wakati ni sasa ambapo amekuwa akiona wanachama mmoja mmoja wa Republican wakijitokeza kumpinga sasa ni wakati wa kumutimua na kutafuta mgombea anayefaa.....
""It the right time for all Republican representative to say enough is enough for you're Racist tell him the Truth find another representative"
Obama amesikitishwa sana na kampeni za ubaguzi kutoka kwa Bilionea huyo na kuwaonya kuwa hakuna wamarekani wenye akili timamu watamaomchagua mtu aina ya Trump.
Chanzo : BBC
Waliingia chaka hawataki kukubali...Naunga mkono hoja
Atashinda tu,Amewagusa penyewe thou anaweza asishinde but trump is a true color of Americans,
Amembagua nani lini na wapi.Barack Obama Rais wa marekani kupitia chama cha Democratic amesema Jana kuwa Trump ni mbaguzi wa hali ya juu na hawezi kuwa Rais wa taifa kubwa kama marekani .
Amesema video iliyovuja na kuonyesha akiwazalilisha wanawake imemfanya asiweze kuaminika tena hata na watu wachache waliokuwa bado wanaimani naye..
Amesema pia wakati ni sasa ambapo amekuwa akiona wanachama mmoja mmoja wa Republican wakijitokeza kumpinga sasa ni wakati wa kumutimua na kutafuta mgombea anayefaa.....
""It the right time for all Republican representative to say enough is enough for you're Racist tell him the Truth find another representative"
Obama amesikitishwa sana na kampeni za ubaguzi kutoka kwa Bilionea huyo na kuwaonya kuwa hakuna wamarekani wenye akili timamu watamaomchagua mtu aina ya Trump.
Chanzo : BBC
Trump kuwa Rais wa marekani ni vigumu kuliko ngamia kupenya kwenye tundu la sindanoAtashinda tu,
Ukiwa mweusi, ukaitwa mweusi hujabaguliwa, utakuwa umebaguliwa ikiwa utanyimwa haki zako za kimsingi kwa sababu ya unavyoonekana.
Hilary clinton ndio hafai kabisa. Alisababisha mumewe kuinajisi white house.
Pamoja na kujua uchafu ule wa mumewe hakuchukua hatua zozote za kujitenga nao (iwe kwa kudai talaka au kumshitaki "pashkuna mramba koni") kwa maneno nyoofu ni kuwa ali engineers zile blow Jo..
Hakuna mwanamke amemshtaki Trump kanakwamba amemdhalilisha, matamshi yake faraghani yanabaki kuwa ya faraghani..
Business inatawala dunia, tunataka businessman aongoze taifa hili kubwa.
Mlikuwa na kiu (wafrika) mwafrika aongoze taifa kubwa mkitarajia makubwa, kwa mshangao wenu mpaka anamaliza uongozi wake hakuna nafuu wala upendeleo wowote mliopata toka kwake zaidi sana mmezidi kuwa weusiiiii tii (rangi yenu mnayoichukia kupita maelezo)
UJANJA UJANJA WA KINA CLINTON HAUNA NAFASI.
Trump kuwa Rais wa marekani ni vigumu kuliko ngamia kupenya kwenye tundu la sindano
Haaaah haitakaa itokeeMi trump ninachotaka awe rais ili kuzinyoosha nchi za afrika .hayo mengine ya kwako huko watajuwana wenyewe .
Pamoja sanaMi trump ninachotaka awe rais ili kuzinyoosha nchi za afrika .hayo mengine ya kwako huko watajuwana wenyewe .
Ni bora ya Trump anayewapa makavu hadharani kuliko kwa wanafiki wanaojiona wema kumbe rohoni wachafu zaidi ya shetani...trump afukuzwe tu mbali na ubaguzi hata sura lake linaonyesha ana roho mbaya na katili