Josh Michael
JF-Expert Member
- Jun 12, 2009
- 2,523
- 91
- Thread starter
-
- #21
Ni kweli kabisa ndio Maana Hapa Marekani kuna Makundi mengi sana katika wale ambao wanajiita Pure Conservatives na hata ukienda baadhi ya sehemu utaona tofauti kubwa sana jamii na jamii. Siku moja nilikuwa katika lectures za African History chuo Hapa America na hivyo watu wengi sana America wanaogopa sana kuona kuwa Socialism za Obama na Niliongea baadhi ya watu toka Republican wa South wengi wanaona hivyo. Lakini mfumo wa afya America ni mbovu sanaAnajaribu ku stay above the frey lakini anaonekana kukubaliana zaidi na ideas za liberals kwenye misimamo yake mingi,na ideas za liberals zinashabihiana sana na socialism kwa mfano public health care,the so called big government etc. Hata hivyo term "Socialism" Nayo imekuwa misused na wamerekani kwasababu ya kutoelewa kuwa elements za socialism always zimekuwepo ila hawajawahi kupactice full socialism na sidhani kama hiyo ndiyo nia ya Obama.Issue ya socialism imekuwa ikiwa hunt wamarekani through out their history especially pale serikali zao zilipoamua kuchukua maamuzi magumu mfano halisi ni medicare yenyewe na hata social security.
Liberal conservative ni term inayotumika kuwa define wale wanaokubaliana na baadhi ya mielekeo ya both liberal and conservative idealism.Wale wanaowaletea shida Democrats ni wale conservative democrats ambao wao never consider themselves as liberals...Hata hivyo ukumbuke kuwa kimsingi chama cha democrat kina misingi ya uliberal only ni kwasababu over time kuna issues ambazo zimekuwa zikidetermine siasa za marekani na hivyo kupelekea hao wenye kujiita wenye misimamo ya kati kuchaguliwa zaidi,issue ambazo zinaangukia kwenye mipaka ya conseravtisim ama liberalism,na ambazo zimepelekea miganyiko alongsde those lines ni issues kama abortion,gay rights,war with the islamists,this time public health care and so forth.
Wanasema kama sikosei watu zaidi ya elfu 60 hufa kila mwaka kwa kukosa insurance,makampuni ya insurance yanatengeneza pesa nyingi na kuzifuja kwa mishahara na matanuzi ya ma CEO'S,halafu wanapandisha premiums wanavyotaka,hawana competition na pia hawana emphathy,halafu mtu akipata matatizo vinamtema,ama preconditions nyingine za kijinga zenye kubagua kama ile zenye kuwabagua wanawake wenye historia ya c-section,na sababu nyingine za kiajabu ajabu tu almuradi wachukue pesa zaidi ama wakuteme ukipata matatizo,nilimsikia Michelle Obama kwenye moja ya speeches zake za ku support health care bill.Ni kweli kabisa ndio Maana Hapa Marekani kuna Makundi mengi sana katika wale ambao wanajiita Pure Conservatives na hata ukienda baadhi ya sehemu utaona tofauti kubwa sana jamii na jamii. Siku moja nilikuwa katika lectures za African History chuo Hapa America na hivyo watu wengi sana America wanaogopa sana kuona kuwa Socialism za Obama na Niliongea baadhi ya watu toka Republican wa South wengi wanaona hivyo. Lakini mfumo wa afya America ni mbovu sana
mh, unaweza kuniambia hao democrats na conservatives wanamisimamo gani ya ideologies? Mimi nakwambia hizi ni misconceptions and usage of the terminologies. Overtime media na watu wa kawaida wamekuja kuharibu maana yake. Who is a social democrat? and a conservative democrat? Does it make sense kuwa na a democrat? Kwani maana ya democracy ni nini? Furthermore, who are liberal democrats? Yote haya ni tags wamejipa tu. But they all fall under one umbrella - LIBERALS. Actually ukiangalia maana ya liberal na democracy, ni vitu viwili tofauti. Democracy = govern by the people/majority. Liberal = individual freedom. How do the two mix? Haya ni maoni yangu, and would love to hear further from you...
Mkuu hapo naomna wewe ndiyo ume mix,wanapozungumzia "Individual Freedom" haina maana ni kuwa tofauti na democracy kama unavyodhani,kwa mfano conservatives wanaweza kuwa wanaogopa liberals kwa kusimamia principle ya individual freedom wanakuwa wamevuka mipaka kwa mfano issue ya gay rights na issue nyinginezo...Historia ya liberalism largely ilikuwa ni mpambano wa philosophy hiyo dhidi ya mornachies ambao walikuwa wanagandamiza individual freedoms,historia ya liberalism ni ndefu, hata hivyo individual freedom haina maana kuwa kinyume na democracy.
Sasa huyu jamaa nimweke katika kundi lipi linapokuja katika kujali maslahi ya watu wake