Hujaeleza juu ya aina ya Ubepari mpya wa China na kufanya Comparative analysis
Hapo umemshika pabaya sana.Hivi mleta MADA anajua kwamba wote wawili Republicans na Democrats wanamtumikia bwana mmoja ambaye ni Mbepari(Wall Street)?Kusema kwamba Ubepari utakufa Duniani ni ndoto za mchana hizo maana hivi tunavyoongea mmoja wa waasisi wa Ujamaa Duniani China amegeuka kuwa Mbepari wa kutisha then nini kitakacho washawishi Wamerakani wakimbilie katika mfumo wa kiuchumi uliowashinda China?