Obama na Muhongo

Obama na Muhongo

unanitaka

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2014
Posts
2,178
Reaction score
1,047
Jembe hili, Mzee wa nguzo,.mzee wa ruzuku, hata marais wa dunia walikuwa wakimkubali
attachment.php
 

Attachments

  • 1430230223340.jpg
    1430230223340.jpg
    65 KB · Views: 2,366
Anamuuliza nilipokwambia jitahidi ufanyie amendmend intelligensia ya akili zako je hukunisoma????
 
Anamuuliza nilipokwambia jitahidi ufanyie amendmend intelligensia ya akili zako je hukunisoma????

Hizo akili mataifa yenye akili ndo yanazitumia nyie si mnapenda madj bana
 
Porojo nyingine kiboko
mbona hapo anaongea na mecj Sadick akimsifia Jiji ni safi sana na anashukuru kwa kupewa Barabara ya Ocean unaoibeba na Ikulu? [
QUOTE=unanitaka;12585617]Jembe hili, Mzee wa nguzo,.mzee wa ruzuku, hata marais wa dunia walikuwa wakimkubali
attachment.php
[/QUOTE]
 
Mbona sion mahusiano ya huyo OBAMA na MUHONGO katika hiyo picha?

Huoni vipi si unaona wateule tu ndio wanaongea na obama hapo, huwezi kusogea sogea tu, kama kichwani hauko njema
 
Ndio mhongo anakutaka, mpe tu kijambio ahangaike nacho.
 
Ndio mhongo anakutaka, mpe tu kijambio ahangaike nacho.

Hahahaa nakusikitikia sana mtoto wa shule unapingana na akili zilizosimama! Ukweli mchungu, jamaa lazima arud kwen system kuja kupunguza mafisadi
 
umemwona Muhongo tu hapo kwenye hiyo picha...mbona yupo na Sadick...
 
Porojo nyingine kiboko
mbona hapo anaongea na mecj Sadick akimsifia Jiji ni safi sana na anashukuru kwa kupewa Barabara ya Ocean unaoibeba na Ikulu? [
QUOTE=unanitaka;12585617]Jembe hili, Mzee wa nguzo,.mzee wa ruzuku, hata marais wa dunia walikuwa wakimkubali

Kumbe hata macho hamna hapo haongei na Muhongo anamuadress Chacha Maswi katibu mkuu escrow. Duhhh mnalazimisha kampeni !!! na hapati ng'ooooo
attachment.php
[/QUOTE]

Hapa anamuadress Chacha Maswi aliyekuwa katibu mkuu escrow na sio Muhongo!!! au macho hayaoni ama unalazimisha kutuuzia Muhongo?
 
Hapa anamuadress Chacha Maswi aliyekuwa katibu mkuu escrow na sio Muhongo!!! au macho hayaoni ama unalazimisha kutuuzia Muhongo?[/QUOTE]
ongeza pia
Obama anamwambia Kikwete
huyu Muhongo na Maswi ni mafala kabisa
kuongea si lazima kumuangalia mtu
 
Back
Top Bottom