Wewe acha tu kuta za nyumba zinaficha mengi, unaweza kukuta Obama ameuzoea msalaba wake kama sisi tulivyozoea misalaba yetu, kwa taarifa yako hata Jk ameizoea misalaba yake pamoja kwamba ni rais.
Yawezekana ni kweli ,lakini kumbuka hata Bill Clincton alikuwa anafanya hivyo hivyo huku yupo na Monica!!!Pamoja na mazuri mengi yaliyoelezwa katika ziara ya Rais Obama nchini .. lakini binafsi nimependa jinsi inavyoonyesha wanavyopendana na Mkewe Michelle pamoja na watoto wao Maria na Sasha .......maanake mabusu ya hapa na pale pamoja na anavyomshika vizuri mkewe na watoto.... safi sana .... muonekano baina yao wanapokuwa hadharani..unanivutia
Yawezekana ni kweli ,lakini kumbuka hata Bill Clincton alikuwa anafanya hivyo hivyo huku yupo na Monica!!!
Hata hapa nchin mtu wetu yupo hivyo hivyo lakin............................
Mke anakuwa msalaba tena ndugu yangu? pole sana kweli raha ya mke huijui................Unajua wengi wetu misalaba imekuwa mikubwa hata kuibeba haibebeki fikiria mtu hata kuongozana tu na mkewe ni shida... sembuse kumpiga busu hadharani....
Wewe ni muongo mkubwa, toka lini baba MwanaAsha akambusu mama Mwana Asha hadharani? Toka lini ukamuona baba MwanaAsha anaongozana na wanawe kwenda pahala!!! Msela yeye kila safari anakwenda na wasaidizi!!!
Pamoja na mazuri mengi yaliyoelezwa katika ziara ya Rais Obama nchini .. lakini binafsi nimependa jinsi inavyoonyesha wanavyopendana na Mkewe Michelle pamoja na watoto wao Maria na Sasha .......maanake mabusu ya hapa na pale pamoja na anavyomshika vizuri mkewe na watoto.... safi sana .... muonekano baina yao wanapokuwa hadharani..unanivutia
Mke anakuwa msalaba tena ndugu yangu? pole sana kweli raha ya mke huijui.
Hapa naona muongo ni wewe kwani mkuu wetu aendapo nje anaenda na vimada wake kujirusha kina Michuzi wanaandika kaenda safari za kikazi.
Pamoja na mazuri mengi yaliyoelezwa katika ziara ya Rais Obama nchini .. lakini binafsi nimependa jinsi inavyoonyesha wanavyopendana na Mkewe Michelle pamoja na watoto wao Maria na Sasha .......maanake mabusu ya hapa na pale pamoja na anavyomshika vizuri mkewe na watoto.... safi sana .... muonekano baina yao wanapokuwa hadharani..unanivutia
Naona hukuielewa nukuu yako ,isome vizuri kwani inaelekea unakubaliana na kile nilichoandika!!!
Pamoja na mazuri mengi yaliyoelezwa katika ziara ya Rais Obama nchini .. lakini binafsi nimependa jinsi inavyoonyesha wanavyopendana na Mkewe Michelle pamoja na watoto wao Maria na Sasha .......maanake mabusu ya hapa na pale pamoja na anavyomshika vizuri mkewe na watoto.... safi sana .... muonekano baina yao wanapokuwa hadharani..unanivutia
Kama tungeiga haya basi tungerithi mapenzi halisi. Tatizo tumekuwa tukirithi mabaya kama vile, kuvaa kata K, Matumizi ya madawa ya kulevya, nadhani hata ushoga tusipoangalia tutarithi. Jamani tuwapo barabarani tukumbatiane OBAMA STYLE. Penzi la Obama.