izzo
JF-Expert Member
- May 31, 2015
- 2,812
- 6,465
Kweli ww una macho ya kugundua kweli hii ni photoshop kwani ukiangalia protocal ya kiulizi ya viongozi airuhusu mtu wa kawaida asiye mlinzi kwenda against na uelekeo wa viongozi ukiangalia huyu dada si mlinzi kwa muonekano tu wakimavazi pia kitu kingine ukiangali obama na rais wa ufaransa wapo kama ngazi ya tatu kutoka juu na nyuma kwa maana ngazi ya kwanza kuna ukuta au bango so kwa maana yeyote ile hakuna njia ya huyo dada kupita pia ukiangalia uelekeo wa huyo dada mbele yake kuna dada na huyo mbaba upenyo kati yao ni mdogo sana kwa mtu kupita pia wote wanaangalia uelekeo mmoja kasoro huyo dada anaeangalia chini lakini angalia rais wa ufaransa ,Obama na huyo mzee wa ngazi ya juu wote kama wanaangalia uelekeo mmojaPhotoshop @ work.