Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,837
Kaeni mkao wa kula, Raisi wa USA Barack Obama ataushangaza Ulimwengu siku siyo nyingi kabla ya kumaliza muda wake wa Uraisi, makamu wake wa Raisi Joe Biden ameshaanza Obama atamalizia, baada ya tukio la kulia hadharani jambo ambalo halijawahi kufanywa Raisi na Amiri Jeshi Mkuu yoyote yule wa nchi hiyo, sasa atalipua kubwa kuliko na atakachokifanya hamtaamini ... subirini muone huyu hawezi kuondoka hivi hivi!
Obama akilia live Ikulu!