Ni Trump alisema akipata urais atawarudisha wakenya wote kwao akiwemo Obama.Kenya wamesema atakua Nairobi
white house sio makazi ya obama bali ni makazi ya rais wa marekani, sasa makazi ya obama yatahamia washington dc toka chicago
daaaahMbona kuna tetesi kwamba anakuja kuishi Msoga?
washington sio makazi yake na ndo maana kufikia february mwakani lazima awe hayupo pale yale ni makazi ya rais chini ya serikali na hii habari inahusu makazi ya obama chini ya obama. hata iwe vipi obama hawezi akakata hata kakipande ka hatua moja kumuuzia mtu pale white house na hawazi akatembelewa na ndugu zake kienyejienyeji kama kule chicago.Kwani Obama sio rais wa marekani?? Sasa hivi kwani makazi yake ni wapi Kama sio White House . Hii taarifa umeitoa bbc na wao wanaeleza kuwa hatohama kutoka Washington wewe unasema atahamiA Washington View attachment 327612View attachment 327613View attachment 327614
afu kumbe wewe ugonjwa wako ni bbc, aya hiyo apoKwani Obama sio rais wa marekani?? Sasa hivi kwani makazi yake ni wapi Kama sio White House . Hii taarifa umeitoa bbc na wao wanaeleza kuwa hatohama kutoka Washington wewe unasema atahamiA Washington View attachment 327612View attachment 327613View attachment 327614
Kwa hio kwa miaka kumi iliyopita makazi yake sio Washington ?? Au mm Ndio sièlewi maana ya makazi?? Sawa atatoka White House lakini atohama kutoka Washington.washington sio makazi yake na ndo maana kufikia february mwakani lazima awe hayupo pale yale ni makazi ya rais chini ya serikali na hii habari inahusu makazi ya obama chini ya obama. hata iwe vipi obama hawezi akakata hata kakipande ka hatua moja kumuuzia mtu pale white house na hawazi akatembelewa na ndugu zake kienyejienyeji kama kule chicago.
ni kama tu yalivyo makazi ya zuma kule klanda aamue kuhamia pretoria
kilichokuwa kinamuweka pale ni urais tu, na ndo maana ikulu huitwa makazi ya rais sio makazi ya mtu fulan, sasa kama pale ni makazi ya obama je bush aliishije pale? au alipangishwa na obama baadae akamtimua?Kwa hio kwa miaka kumi iliyopita makazi yake sio Washington ?? Au mm Ndio sièlewi maana ya makazi?? Sawa atatoka White House lakini atohama kutoka Washington.