Ona AFRICOM hii link United States Africa Command link 2. United States Africa Command - Wikipedia, the free encyclopedia
Kwanza... AFRICOM haikufanikiwa BUSH alikuja kwa KIKWETE na hakupata ARMY BASE... AFRICOM ingekuwa ni JESHI la WAAFRICA linalofundishwa na Wamarekani kwenye BASE ndani ya ARDHI ya NCHI ya AFRICA.... kwahiyo AFRICOM haipo
Kuhusu LIBYA AFRICOM haikuhusika......
AFRICOM haihusiki/haikuhusika? Sawa bana! link 1. Libya: New AFRICOM And NATO Beachhead In Africa | Global Research
Link 2. AFRICOM's Libyan Expedition | Foreign Affairs
Samahani... LOL sikubifu Unajua tena NAJARIBU KUSEMA UKWELI ulio wazi, saa nyingine watu wanakaa jukwaani wanaongelea mambo utadhani UH ni wakombozi ukiwafuata Unaangukia GIZANI na ndio MWISHO wako hapo... UMEJIUZA hata ukijipangusa UMAANA wako woote UMEISHA... Nadhani unapishana na watu wengi barabarani wanaongea wenyewe na wamevaa vizuri sana... HAYO NDIO MAJUTO YA MJUKUU...
ELIMU sio ya DARASANI PEKEE... ELIMU DUNIA PIA ni KAZI KWELI KUIELEWA...
Ok... Chinese hadi leo bado tunalipia TAZARA na bado wachina wapo wanafanya kazi Tazara... Ngoja Bandari ya Bagamoyo Wachina Kibao ... Sasa wewe sijui kama utaweza kwenda kuishi CHINA; lakini USA wabongo wamezamia kibao...
Hakuna kitu kama hicho duniani, hata ndoa zina masharti.Wachina ambao huwa hawatoi misaada kwa mashariti, na wana heshimu binadamu wenzao.
Pia kuna elimu ambayo ni ya maarifa/ufahamu, hii unazaliwa nayo, haijalishi umekaa darasani au umeishi miaka mingapi kama hukujaaliwa nayo we, ndiyo basi tena.
ELIMU sio ya DARASANI PEKEE... ELIMU DUNIA PIA ni KAZI KWELI KUIELEWA...
Pia kuna elimu ambayo ni ya maarifa/ufahamu, hii unazaliwa nayo, haijalishi umekaa darasani au umeishi miaka mingapi kama hukujaaliwa nayo we, ndiyo basi tena.
Rejea maneno haya, "wewe bado mdogo", umenielewa?
Nngu007
Umepata elimu ya mtaani au darasani? Elimu dunia au elimu ya kuzimu?
"dirty black americans!" au vipi mkuu?
Naona hujanisoma vizuri mkuu, nilimaanisha maneno ya mwalimu aliyoyasema pale kwenye mkutano wa NEC mwaka 1995.Bado MDOGO?
Hakuna kitu kama hicho duniani, hata ndoa zina masharti.
Sijafa Bado; kwahiyo KUZIMU sikujui... Nimepata elimu nzuri ya Darasani na pia nimepata elimu nzuri hapa duniani kwa kupoteza wazazi wangu nikiwa bado teen age... so i did some struggling...
Pole sana kwa kupoteza wazazi ukiwa mdogo. Hiyo ni mitihani ya maisha.
Iko siku tutafika kuzimu...kama ni safari basi mtu hujitayarisha kwa safari hiyo. Ukusanye zawadi za kuchukulia waliotangulia huko.
Ipi unapendelea katika haya mawili? Life is struggle au Struggle is life.
Mkuu hivi una uhakika unacho kizungumza hapa? Nani kakwambia Serikali yetu na ya Zambia zimewahi kuwalipa Wachina deni lao la ujenzi TAZARA, kwa taarifa yako Tanzania hajawahi kulipa hata senti tano na actually China alihamua kusamee deni lote upande wa Tanzania, sina hakika kama na Zambia ilisamehewa deni. Kwa kifupi sio fresh kuwazulia Wachina, alafu si kweli kwamba hakuna Waswahili wanao ishi UCHINA! Mbona wako kibao na wengine wameoa Wachina na wanaendelea na biashara zao, hakuna tatizo huko kama uvunji sheria.
Nani kakwambia Merikani ni bed of roses!! Wangapi wamezamia huko na kuwa na maisha mazuri, mbona kuna wengi tu wanarudishwa huku - hebu tupe takwimu za kuonyesha vitu vya maana mfano viwanda, barabara, mashule, madaraja, kilimo ambavyo Tanzania inaweza kujivunia kutokana na ushirikiano wetu wa Kibarozi na Merikani tangu tupate uhuru, hakuna! Ni Rais Kennedy tu ambaye alikuwa na nia thabiti ya kusaidia Tanganyika lakini aliuwawa wakati ana anza kutimiza ahadi zake, tangu hapo hakuna cha maana kilichowahi kufanyika hapa zaidi ya kuzungumzia ushirikiano wa kijeshi, vyandalua na madawa ya ARVs.
Obama kawakusanya ma Rais hao wanne fasta fasta baada ya kuona Wachina wanavyo chukuliwa Seriously na nchi za Kiafrica, na kote Rais Xi Jinping alipo kuwa anapita katika nchi za Kiafrica matunda ya ushirikiano wa Wachina na Africa ulikuwa unaonekan wazi: Majengo ya kisasa, Vyuo Vikuu, Uzalishaji umeme, barabara, viwanja vya ndege nk - yote hayo yalionyeshwa Dunia nzima na CCTV; KUMBUKA NCHI ZA MAGHARIBI ZILIKUWA ZINAFATILIA SANA ZIARA YA Rais wa Uchina vile vile na mkutano wa BRICS.
Obama ambaye ana damu ya kibantu unafikili yeye alijisikiaje kuona nchi yake tajiri inashindwa Wachina katika kujali binadamu wenzao, kwa kuona aibu anaishia kuwakaribisha Ma Raisi wanne wa ki Africa bila ya kuwa na kitu cha maana cha kuwaeleza - yaani niliona mkutano huo ulikuwa kichekesho 'am pleased kwamba JK hakuweza kuhudhulia mkutano huo wa kuchonga, angepoteza muda wake bure na kuishia kuchoka kutokana na jet lag. Nataka nieleweke kwamba sina tatizo na Merikani ninacho waomba mimi waonyeshe nia thabiti ya kusaidia nchi masikini kimaendeleo wajaribu kuwaiga wenzao Wachina ambao huwa hawatoi misaada kwa mashariti, na wana heshimu binadamu wenzao.
Mikubwa jinga inaitwa inakimbia tu kama mizuzu...