Obama hosts leaders of four African countries...

Obama hosts leaders of four African countries...

Bora Chinese kuliko US (Americans).

Ok... Chinese hadi leo bado tunalipia TAZARA na bado wachina wapo wanafanya kazi Tazara... Ngoja Bandari ya Bagamoyo Wachina Kibao ... Sasa wewe sijui kama utaweza kwenda kuishi CHINA; lakini USA wabongo wamezamia kibao...
 
poa tu wao wameitwa kwa obama si rais wa china kaja nyumbani..........tujipe moyo tuu
 
Issue za Mikopo na agreements za mikopo ni makubaliano kati ya wahusika! ninachosema ni kujidharau kama Watanzania eti kuona Masikini kwa nini Raisi wet hakualikwa na kuwa wanyonge. Kama mnafikiri Rasi ameshindwa kukidhi vigezo vya kualikwa ni kwamba tumeshindwa wote, maana Raisi hafanyi kazi peke yake. Kumbuka madhaifu tuliyo nayo kama watanzania katika kutimiza wajibu kuanzia ki-familia hadi Taifa, then bila haya mnasema eti Raisi hajaalikwa. Bado mnafikra za kijinga za kutukuza wazungu! eti Raisi wetu Hajaalikwa na Obama!! Shit!
 
Namsikitikia JK,tangu apate habari kuwa kuwa wenzake wamealikwa na Obama. naamini hajapata usingizi.
 
NEWS

By KEVIN KELLEY

Posted Saturday, March 30 2013 at 21:55

IN SUMMARY

  • Conferring with President Obama at the White House on March 28, were the Prime Minister of Cape Verde — José Maria Neves, Presidents Joyce Banda of Malawi, Macky Sall of Senegal, and Ernest Bai Koroma of Sierra Leone.
  • The meeting was to reward them for their support for US interests in Africa.
  • The meetings also sent a signal to other African leaders that close relations with the world’s superpower are contingent on maintaining stability and respecting the rule of law.

US President Barack Obama met with four leaders of African countries that the US has strong partnerships with.

Conferring with President Obama at the White House on March 28, were the Prime Minister of Cape Verde — José Maria Neves, Presidents Joyce Banda of Malawi, Macky Sall of Senegal, and Ernest Bai Koroma of Sierra Leone.

The meeting was to reward them for their support for US interests in Africa.

The meetings also sent a signal to other African leaders that close relations with the world’s superpower are contingent on maintaining stability and respecting the rule of law.

Following an armed rebel takeover of the Central African Republic on March 24, two days later State Department spokesman Patrick Ventrell said the Obama administration is reviewing $2.2 million in aid the US provides to that country.

Some $1.6 million funds a USAid initiative to protect the rights of small-scale diamond miners in the CAR.

Mr Ventrell said the US also spends $22 million a year on humanitarian programmes in the CAR. That funding, funnelled through NGOs, will not be affected by the rebel conquest, the spokesman said.

President Obama praised the trend in Africa toward democratic development.

“What we’ve learned over the past several decades,” President Obama said following his talks with the four leaders, “is that when you’ve got good governance — when you have democracies that work, sound management of public funds, transparency and accountability to the citizens that put leaders in place — it is not only good for the state and the functioning of government, it’s also good for economic development because it gives people confidence, it attracts business, it facilitates trade and commerce.”

The leaders are the latest from Africa whom President Obama has hosted over the past four years.

TATIZO HAPO KWENYE RED

[CHADEMA BILA KANISA NI KAMA MTUMBWI KWENYE MKONDO WA NUNGWI]
 
NEWS

By KEVIN KELLEY

Posted Saturday, March 30 2013 at 21:55

IN SUMMARY

  • Conferring with President Obama at the White House on March 28, were the Prime Minister of Cape Verde - José Maria Neves, Presidents Joyce Banda of Malawi, Macky Sall of Senegal, and Ernest Bai Koroma of Sierra Leone.
  • The meeting was to reward them for their support for US interests in Africa.
  • The meetings also sent a signal to other African leaders that close relations with the world's superpower are contingent on maintaining stability and respecting the rule of law.

US President Barack Obama met with four leaders of African countries that the US has strong partnerships with.

Conferring with President Obama at the White House on March 28, were the Prime Minister of Cape Verde - José Maria Neves, Presidents Joyce Banda of Malawi, Macky Sall of Senegal, and Ernest Bai Koroma of Sierra Leone.

The meeting was to reward them for their support for US interests in Africa.

The meetings also sent a signal to other African leaders that close relations with the world's superpower are contingent on maintaining stability and respecting the rule of law.

Following an armed rebel takeover of the Central African Republic on March 24, two days later State Department spokesman Patrick Ventrell said the Obama administration is reviewing $2.2 million in aid the US provides to that country.

Some $1.6 million funds a USAid initiative to protect the rights of small-scale diamond miners in the CAR.

Mr Ventrell said the US also spends $22 million a year on humanitarian programmes in the CAR. That funding, funnelled through NGOs, will not be affected by the rebel conquest, the spokesman said.

President Obama praised the trend in Africa toward democratic development.

"What we've learned over the past several decades," President Obama said following his talks with the four leaders, "is that when you've got good governance - when you have democracies that work, sound management of public funds, transparency and accountability to the citizens that put leaders in place - it is not only good for the state and the functioning of government, it's also good for economic development because it gives people confidence, it attracts business, it facilitates trade and commerce."

The leaders are the latest from Africa whom President Obama has hosted over the past four years.

TATIZO HAPO KWENYE RED

[CHADEMA BILA KANISA NI KAMA MTUMBWI KWENYE MKONDO WA NUNGWI]

Kanisa na CHADEMA ni Sawa na kusema CUF na MSIKITI... CCM na MSIKITI --- Unagawa NCHI kikabila ndio Mapenzi yako sasa unadhani utaweza kweli kuishi DUNIANI? Au utakimbilia kwenye MAPANGO?
 
hawanaga rafiki wa kudumu na juzi kati bongo wakikamilisha mipango yao wanaenda nchi nyingine
 
Vipi nngu007 hakuiona hiyo red?

Namsubiria nngu007 aseme "dirty americans"

Aki...a America sawa, akifanya China anasema kahara.

Same... Wachina wanakutupia pesa za Mikopo bila kukuambia ni lini utamaliza kulipa; Angalau US wao wanakaa mezani na wewe na kuwa open book wanakuambia ni miaka hii au la; unachukua huu mkopo na interest hii au acha... Wanakupa uamuzi... sio kukupa cha bure bila uamuzi...
 
Which US are you talking about?
US anakupa vyandarua,anakupa mazoezi ya kijeshi,anakupa tenda ya kupeleka jeshi lako kule wanakotengeneza migogoro (kulinda amani,wanaita)..baada ya miaka 2 anakuja kukupiga mabomu na kukupa DOMOkrasia.

Baya zaidi anakwambia ulipie gharama za mabomu aliyotumia kuirudisha nchi yako stone age.
 
Ni Sawa Sawa na MCHINA na SUDAN alikuwa anawapa MABOMU na SILAHA SUDAN kuwalipua SUDAN KUSINI ili kupata OIL na GAS; na kugoma kuipigia KURA SUDAN KUSINI kupata UHURU hawakujua OIL na GAS in ya SUDAN KUSINI baadaye ni kuwaalika SUDAN kusini na kuwalipia kujenga IT CENTER na PIA JUKWAA LA UHURU... Angalia BANDARI ya BAGAMOYO Wachina watataka kuweka KAMBI yao ya KIVITA... wanataka kuendesha hiyo BANDARI kwa MIAKA 50... Ni wachungu zaidi ya Wamarekani...
 
Mkuu nngu007

Naona unazunguka mbuyu tu, bado sijasoma maandishi yako yasemayo, "dirty Americans"

Make me happy, andika...dirty americans kama wako sawa na dirty chinese!
 
Mkuu nngu007

Naona unazunguka mbuyu tu, bado sijasoma maandishi yako yasemayo, "dirty Americans"

Make me happy, andika...dirty americans kama wako sawa na dirty chinese!

Kwa sasa hivi IMPERIALIST anayekuja kutuchukulia MALI zetu ni MCHINA... Yuko kila kona AFRICA Yeah zamani alikuwa MMAREKANI
 
Unaelewa AFRICOM?

Zamani Mmarekani? nngu007 umelala dugu. AFRICOM | Black Agenda Report

Bado hutaki kusema "dirty Americans"?

Kwanza... AFRICOM haikufanikiwa BUSH alikuja kwa KIKWETE na hakupata ARMY BASE... AFRICOM ingekuwa ni JESHI la WAAFRICA linalofundishwa na Wamarekani kwenye BASE ndani ya ARDHI ya NCHI ya AFRICA.... kwahiyo AFRICOM haipo

Kuhusu LIBYA AFRICOM haikuhusika... LIBYA Wapinzani wa GHADAFFI kweli walikuwepo lakini hakwakuwa na silaha za kuweza kumuondoa; na UNAJUA TUNISIA waliondoa kiongozi FISADI; EGYPT walifanya hivyo na Walifanya UCHAGUZI HURU na walipata kiongozi wamtakaye a MUSLIM BROTHERHOOD... na LIBYA wakifanya UCHAGUZI watachagua wamtakaye sidhani USA wataingilia PEOPLE's POWER...

Hawa Weusi wa MAREKANI kitu kinachonisikitisha ni kuwa they will talk all about the MOTHERLAND lakini waambie watembelee AFRICA... watakuambia OOOH watu wanaishi kwenye MITI; Oh Malaria itaniua; Oh hakuna CHAKULA tunaona kwenye TV na wanakuambia TV ni PROPAGANDA lakini wataiamini TV wakikuonyesha vya AFRICA; nenda kafanye kazi NAO wao watakuchukia wewe watasema unawachukulia kazi zao; WEUSI wengi wa AFRICA ni shida kuishi kwenye BLACK AMERICAN NEIGHBOURHOOD; wanatufanya kama THIRD CLASS CITIZEN's chini ya waspanish wa MEXICO....

Ni wabaguzi wa AJABU; Hapo wanaongea ni kupata hizo PerDem... lakini they really don't mean to help AFRICAN's ni BORA huyo MWEUPE aje atume 10% achukue hiyo 90% --- Nadhani unaujua MKUTANO wa SULLIVAN Miaka 5 iliyopita ULIFANYIKA ARUSHA TV Rais KIKWETE aliwaalika we acha all RICH BLACK AMERICANS; acha watu wa ARUSHA waweke VITU vya KITALII vya KUUZA hakuna aliyenunua... wao ni Wanawake na POMBE... Mkutano Umeisha Serikali ya Tanzania imepata hasara... Angalia HOTEL MOUNT MERU ilibidi waongeze MZUNGU INVESTOR black invester from US hawajui BIASHARA...

NDIO... Ukiniambia USA niongee na INVESTORS BLACKS or WHITES ninakwenda kwa WHITES sababu WHITES kama hapendi Rangi yako USA anakuambia kaa mbali na mimi... na wapo wanaopenda kushirikiana na wewe...
 
Last edited by a moderator:

Mzee unabifu na wanugu nini?
 
Mzee unabifu na wanugu nini?

Samahani... LOL sikubifu Unajua tena NAJARIBU KUSEMA UKWELI ulio wazi, saa nyingine watu wanakaa jukwaani wanaongelea mambo utadhani UH ni wakombozi ukiwafuata Unaangukia GIZANI na ndio MWISHO wako hapo... UMEJIUZA hata ukijipangusa UMAANA wako woote UMEISHA... Nadhani unapishana na watu wengi barabarani wanaongea wenyewe na wamevaa vizuri sana... HAYO NDIO MAJUTO YA MJUKUU...

ELIMU sio ya DARASANI PEKEE... ELIMU DUNIA PIA ni KAZI KWELI KUIELEWA...
 
Back
Top Bottom