Asilimia kubwa zaidi ya wamarekani wanazidi kutilia shaka kuhusu dini ya raisi wao;Baraka Hussein Obama.Asilimia 18 wanasema ni muislamu na 34 tu ndio wanaosema yeye ni mkristo.
Mwenyewe amenukuliwa akisema:
"It's not something that I can, I think, spend all my time worrying about it," Obama said in an interview with NBC News, dismissing the results of a recent Pew Research Center.
"I'm not going to be worrying too much about whatever rumors are floating out there. If I spend all my time chasing after that, then I wouldn't get much done."
REUTERS
Wana haki ya kujua imani ya rais wao....wangekuwa wana hoji dini ya mtu wakawaida hapo tunge washangaa....Hata baadhi ya wamarekani hawana maana. Dini ya Obama, yo yote ile iwayo, ina uhusiano gani na uongozi wa nchi yao?
mbona dini yake inajulikana? Alisema mara kwa mara yeye ni mkristo. Alishambuliwa mara nyingi na wapinzani kwa sababu ya kanisa lake alipoishi Chicago. Wachungaji wanomshauri wajulikana pia.Wana haki ya kujua imani ya rais wao....wangekuwa wana hoji dini ya mtu wakawaida hapo tunge washangaa....
Wana haki ya kujua imani ya rais wao....wangekuwa wana hoji dini ya mtu wakawaida hapo tunge washangaa....
Asilimia kubwa zaidi ya wamarekani wanazidi kutilia shaka kuhusu dini ya raisi wao;Baraka Hussein Obama.Asilimia 18 wanasema ni muislamu na 34 tu ndio wanaosema yeye ni mkristo.
Mwenyewe amenukuliwa akisema:
"It's not something that I can, I think, spend all my time worrying about it," Obama said in an interview with NBC News, dismissing the results of a recent Pew Research Center.
"I'm not going to be worrying too much about whatever rumors are floating out there. If I spend all my time chasing after that, then I wouldn't get much done."
REUTERS
Mijitu kwa udini!Ndio maana mnamshabikia padri kwavile ni toka dini(dhehebu)lenu.Acheni hizo huo ni mufilisi!
Asilimia kubwa zaidi ya wamarekani wanazidi kutilia shaka kuhusu dini ya raisi wao;Baraka Hussein Obama.Asilimia 18 wanasema ni muislamu na 34 tu ndio wanaosema yeye ni mkristo.
Mwenyewe amenukuliwa akisema:
"It's not something that I can, I think, spend all my time worrying about it," Obama said in an interview with NBC News, dismissing the results of a recent Pew Research Center.
"I'm not going to be worrying too much about whatever rumors are floating out there. If I spend all my time chasing after that, then I wouldn't get much done."
REUTERS
Kwenye somo la mahesabu sikujifunza asilimia 18 kuwa asilimia kubwa. Idadi hii inalingana na idadi ya Wamarekani wanaoamini ya kwamba jua linazunguka dunia, ya kwamba Obama hakuzaliwa USA, ya kwamba viumbe kutoka anga la nje hutembea duniani na kuiba watu, Serikali ya Washington ilitengenza milipuko kwenye minara ya WTC. Kila imani kati ya hizi hupata takriban asilima 20 za Wamarekani wanaokubali.
Halafu unabadinka kichwa kisicholingana sana na yaliyomo: Alichosema ni ya kwamba hataki kupoteza muda kufuatilia mifumo kwa jumla. Huyu Bwana ana kazi kidogo.
Uzi huu hauna tija. Ina maana katika hali ya kawaida watu wanatakiwa waogope kuitwa waisilamu? Ami inabidi utuombe radhi waisilamu.
mbona dini yake inajulikana? Alisema mara kwa mara yeye ni mkristo. Alishambuliwa mara nyingi na wapinzani kwa sababu ya kanisa lake alipoishi Chicago. Wachungaji wanomshauri wajulikana pia.
Mwislamu safi anayebatizwa mwaka 1988, kusali kanisani Chicago miaka 20, aliyeoa kanisani, kula nguruwe, kunywa bia na kadhalika!!!!!
Ni tu ile kempeni ya wachokozi wa FoxNews na wengine wanaoendelea kusambaza eti yeye ni mwislamu.
Kuna watu wenye akili wanaojaribu kumsemea hivyo lakini je, kuna mtu 1 mwenye akili anayeyaamini yeye ni mwislamu ???