VPN USED2020OCTOBER28
JF-Expert Member
- Oct 27, 2011
- 1,505
- 671
- Thread starter
- #181
PLEASE! obama alisema katika utawala wake , kosa kubwa alilolifanya ni kuruhusu majeshi ya usa kuivamia libya, kwa tafsiri hyo ni kwamba anaomba msamahaKuhusu Gaddafi, Walibya wenyewe walikwisha mkataa, walilionesha hilo kwa vitendo; mataifa ya magharibi yalitumia hilo kama justification.
Kutokuwepo ama kukosekana kwa mfumo bora wa kupokezana madaraka kumeifanya Libya kuwa hivi hii leo. Pana funzo kubwa sana hapo kwa mataifa mengine hususani barani Afrika.
Kilichopo hivi sasa nchini Libya hakimaanishi kuwa Gaddafi alikuwa bora, la hasha! In fact kilichopo hivi sasa ni kutokana na misingi mibovu ya uliokuwa utawala wa Gaddafi. Libyans are paying the price now!
Mnaosema Obama ameomba radhi sidhani kama mpo sahihi. Alichokisema Obama ni kwamba, hakukuwa na mipango bora baada ya kumuondoa Gaddafi. Obama hakupingana na ile intervention.
Obama alizungumzia aftermath ya ile intervention kwa maana ya kwamba baada ya kuondolewa kwa Gaddafi ni nini kilitakiwa kifanyike kama mpango bora ambao ungeiwezesha Libya kutawalika bila Gaddafi.