Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 16,637
- 31,135
Usimsahau na ElizabethInawezekana walidanganywa lakini kwa njia moja ama nyingine Gaddafi aliyataka mwenyewe. Nasisitiza hakusoma alama za nyakati. Zama zake zilifika ukingoni.
Na hili si kosa lake tu bali ni kosa la viongozi wengi wakishalewa madaraka wanadhani wao ni miungu watu hamna mtu wa kuwagusa. Hawajifunzi tu.
Omar Al bashir wa Sudani is another example.
Mugabe wa Zimbabwe ameshikilia madaraka mpaka jeshi likamlazimisha ajiuzulu.