Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 8,313
- 13,618
Nashangaa kuna watu wanamtetea humu.Gaddafi huyu huyu aliyetuma majeshi kuja kumsaidia idd amini kupigana na tz kisa idd alikuwa muislam mwenzake. Alipata alichostahili.
Nashangaa kuna watu wanamtetea humu.Gaddafi huyu huyu aliyetuma majeshi kuja kumsaidia idd amini kupigana na tz kisa idd alikuwa muislam mwenzake. Alipata alichostahili.
Thamani ya uafrika sio kutetea upuuzi unaofanywa na viongozi eti kwa sababu ni Waafrika wenzetu.Kuna member humu hawajui thamani ya uafrika wao
Gaddafi alikua na wakati mzuri wa kuweka mambo Sawa pale Libya then akastaafu huku akila pension yake taratibu Kama akina Nelson Mandela. Sema ndio hivyo madaraka matamhata gadafi angetawala mwaka mmoja tu still lazima angepata watu wakumchukia pia.
Katiba yao inasemaje kuhusu mamlaka ya Gaddafi?kwani gadafi kajiweja mwenyewe. katiba yao na sheria ndio imemfanya gadafi awe pale ila wazungu ndio hawakumtaka
Nazungumza na watawala hususani wa Kiafrika. Funzo liko wazi kabisa.Pana funzo kubwa funzo lipi ?!
Usiwe mvivu wa kusoma. Tafuta maarifa!Kaekwa nanani ?! Lini ?!
Demokrasia kila mtu ana definition yake,usilazimishe eti mkiwa na demokrasia mnakuwa na maendeleo.China yule pale hana demokrasia lakini uchumi wake umekuwa kwa kasi mpaka kuwa ya pili duniani.Demokrasia ndo kila kitu, Gaddafi anapashwa kubeba lawama kwa kutoruhusu demokrasia.
Demokrasia kila mtu ana definition yake,usilazimishe eti mkiwa na demokrasia mnakuwa na maendeleo.China yule pale hana demokrasia lakini uchumi wake umekuwa kwa kasi mpaka kuwa ya pili duniani.
Ghadafi kabla ya kufa raia wake walikuwa na maisha mazuri kuliko raia wa nchi yoyote ya Africa,kwa ujinga wao wameziruhusi nchi za magharibi ziwagombanishe,sasa wana uhuru wa kuongea,lkn hawana amani na nchi za Ulaya baada ya kuivuruga Libya zimekaa kimya.
Nchi imekuwa kama kitongoji cha kambale mtoto ndefu,baba ndefu na mama ndefu,hamna wa kumkemea mwenzie kwa kifupi wakulaumiwa Libya ni USA,France ,sifikiri kuiona Libya ikiwa na amani.
Huyo Obama mwenyewe alikiri hamna kosa kubwa alilolifanya kama kumuua Ghadafi.Hamna sehemu ambayo US imegusa baada ya hapo ikabaki salama haipo refer Afighanstan,Iraq,Yemen,Pakstan kote huko hamna amani.Sasa hivi ICC wanafanya uchunguzi wa kuwafungulia mashataka wanajeshi wa US walioua raia wasio kuwa na hatia Afighanstan,US kwa ubabe wake amewaambia hamna askari yoyote atakaye hukumiwa na ICC na mali zao zilizokuwa US wamezishikilia.Sasa jiulize Libya,Iraq,Yemen,Pakstan waliua raia wangapi wasio na hatia,wao wanajua kubomoa hawajui kujenga .
Tatizo kuhide information au kupiga hatua za kiuchumi kama taifa,watu wanataka maendeleo na si blah blah za kisiasa.Siasa ya China unaifitiliaga , watu wanaandamana lkn wanauliwa kwaiyo China wao huwez kufahamu taarifa zao kwa kuwa waahide information.
Anachaguliwa nanani kuwepo pale alipo yamamlaka wala sitaki kuyajua nnachotaka kuyajua anachaguliwa nanani naje unahisi hakuna mwengine anayoyataka hayo anayoyapata yeye bila kua namamalaka nakwanini asichaguliwe ajieke tu ?!Hana mamlaka! Yupo pale kama sehemu ya utamaduni wa waingereza. Mbona Japan kuna mfalme lakini waziri mkuu ndio mwenye mamlaka
Hata VENEZUELA hakuna mkono wachuma mnao udai ila hao wapuuzi wa US hawaachi kumsumbua MADURO.....Kwamba mwisho wa udikteta sio mzuri. Ukitawala kwa mkono wa chuma iko siku wananchi watachoka na kukutoa madarakani kwa nguvu
Ndio ulete tulijue.Nazungumza na watawala hususani wa Kiafrika. Funzo liko wazi kabisa.
Jibu swali kawekwa nanani lini !?Usiwe mvivu wa kusoma. Tafuta maarifa!
Wameandamana wapi na wanaandamana sababu ya nini ?!Siasa ya China unaifitiliaga , watu wanaandamana lkn wanauliwa kwaiyo China wao huwez kufahamu taarifa zao kwa kuwa waahide information.
We unaishi kijijin , utambui chochote.Tatizo kuhide information au kupiga hatua za kiuchumi kama taifa,watu wanataka maendeleo na si blah blah za kisiasa.
Huna unachokijua.We unaishi kijijin , utambui chochote.
Ni dhahiri sasa kwamba wewe ni mvivu wa kusoma.Ndio ulete tulijue.
Swali hilo lijibiwe mara ngapi?Jibu swali kawekwa nanani lini !?
Maarifa mnayoyaweka kwamaslahi yenu(wamagharibi) yakiwa hayaendani namaslahi yao yanakengeukwaSwali hilo lijibiwe mara ngapi?
Nimesema, usiwe mvivu wa kusoma, tafuta maarifa!
Swali hilo limekwisha jibiwa na kama hukuyaelewa majibu uliyopewa hilo ni suala jingine kabisa.Maarifa mnayoyaweka kwamaslahi yenu(wamagharibi) yakiwa hayaendani namaslahi yao yanakengeukwa
Udikteta wa UK wazamani sana mpaka sasa hujanambia nasitegemei kama utanambia MALKIA anakaa madarakani kwakuchaguliwa nanani nakwademokrasia ipi miaka 40 hang'atuki madarakani wengine wakikaa nongwa