naamini gay & lesbianism sio choice yao ila wanazaliwa hivyo,kwanini wapo dunia nzima na hawa watu wapo thousands of yrs katika civilization zote zilizowahi kutokea,naweza nisikubaliane nao lakini sio sababu ya kuwa punish kwa sababu tuu ni gay & lesbians, wapeni haki zao tuu na waachwe waishi maisha yao...mambo ya ndani yanawahusu nini,cha ajabu wanaume wengi na wanawake wengi sana wanapractice sana sodomy huko vyumbani kwao,Dar ni kama fashion sasa,na msilete story za dini humu maana sio kila mtu anaamini stupid book vitabu zenu.
Huyu Obama nafikiri ni Anti Christ group. He is behind all of satanic actions done by Americans. Sasa hivi anatetea hawa "mafirauni" watumike hadharani jeshini ambapo zamani ilikuwa hairuhusiwi kutokana na ushetani wao. Aangalie Marekani itajikuta inakumbwa na majanga kadhaa maana kikombe cha hasira cha MUNGU kikijaa basi tena.
Pole!
Tatizo ni uzima ulio nao ambao MUNGU kakupa ndo maana waweza kusema maneno ya kishetani kama haya. MUNGU akusaidie.
...keep your fukc%6 god out of me,sihitaji kusikia hadithi za watu wa kale waliokuwa wanapigana kwa mikuki na farasi.
Kwa hiyo mwenzetu unaya-practice hayo mambo au namna gani, maana nashindwa kukuelewa! Hata ng'ombe huwa hawakosei sehemu ambayo Mungu aliwatengenezea kwa ajili ya kujamiiana! Sasa wewe huelewi nini hapa? Ama kweli dunia tambara bovu!
hii topic ishavamiwa na trolls & religions fanatics na wengi wao hawatumii vichwa kufikiria,hivi hizi extremism zina tofauti gani na upande mwingine wa kina Osama,ndio maana mnachukiana to death mnaishia kuuana tuu...nyie watu mnahitaji msaada!
Ulitaka watu gani ndio watoe maoni yao? Wale wenye jinsia moja wanaokulana wenyewe kwa wenyewe? Na hao unawaona ndio wanatumia vichwa kufikiria kweli au tamaa zao za kishetani ndio zinazowaongoza?
naamini gay & lesbianism sio choice yao ila wanazaliwa hivyo,kwanini wapo dunia nzima na hawa watu wapo thousands of yrs katika civilization zote zilizowahi kutokea,naweza nisikubaliane nao lakini sio sababu ya kuwa punish kwa sababu tuu ni gay & lesbians, wapeni haki zao tuu na waachwe waishi maisha yao...mambo ya ndani yanawahusu nini,cha ajabu wanaume wengi na wanawake wengi sana wanapractice sana sodomy huko vyumbani kwao,Dar ni kama fashion sasa,na msilete story za dini humu maana sio kila mtu anaamini stupid book vitabu zenu.
Sidhani kama watu wanazungumzia dini na imani peke yake, bali tamaduni na nature vile vile inasukuma kuona kuwa tabia hii si nzuri, ni chafu na inastahili kupingwa kwa stahili yote(ingawa adhabu inaweza kuonekana ni kali sana.
Pili siamini kuwa asilimia kubwa ya hawa watu ni kutokana na kuzaliwa hivyo bali ni mazingira na peer gruops ndizo zinazozalisha na kukuza hawa watu kwa sana. Nasema mazingira kwa kuwa ukitaka kuangalia hii tabia imeenea sana ughaibuni ambako wanapewa haki na kuwasupport kwa sana hii ni kusema kuwa kizazi hicho ni kikubwa sana kwahiyo hata watoto wanaozaliwa wanakutana na hizo hali na hivyo kuwainfluence na wao pia. Na katika hizi nchi zetu, globalization ndio inatusumbua zaidi na kuiga kwa sana tamaduni zetu ambazo zamani zilikuwa impermeable kwa hizi tabia za nje kwa sasa zimekuwa more than permeable hata yale makabila yaliyokuwa yakisifika sana lakini nayo yamebadilika mno.
Jinsi wanavyolelewa watoto katika jamii na katika familia ndiyo inapelekea suala hili. Jiulize kwanini wako wengi sana ughaibuni kuliko sehemu nyingine? Sababu ni kuwa wanapewa fursa ya kuwa hivyo.
...dont fool yourself,wamejaa wengi sana hapo Dar,Mombasa,Tanga etc kuliko hata San fransisco wanaogopa tuu kuwa wazi kwa sababu ya watu kama nyie,inawezekana hata wewe una ndugu wa namna hiyo na forget globalization,has nothing to do na kuwa gay,walikuwepo hata kabla bible haijaandikwa.
Am not fooling myself lakini ukweli ni kuwa Biological natural gays hakuna ila ukweli ni kuwa kwa watu wanaosupport kama nyie huwa wanajitahidi kutengeneza biological means za kuwaweka hawa watu wafanane na jinsia wanazozitaka. Na ukweli unabaki pale pale kuwa Environmental, Societal and Governmental policies are the only factors.
Mfano mwengine we chukulia mfano Uganda wakibadili sheria hiyo na kusema ushoga ni ruksa inatakuwa na impact gani kwa jamii? Kizazi cha watoto kitakuwa na impact gani?
Mchicha mwiba, Mtoto si rizki, Tikiti maji, Kaka pouwa, Bwabwa, Samvu la kopo, Mtoto wa watu, Punga,...........................itaendelea!..hakuna mtu anatengeneza gays & lesbian na wapo before hata hizo so called government hazijaanza,sioni cha ajabu watu kama nyie kuwa forcefull against gays ila History inatufundisha tofauti sana na talking points zenu,hata mtu mweusi alikuwa haruhusiwi kuoa/kuolewa na mzungu na wengi waliamini hivyo na wengi walionewa na kunyimwa rights zao na hata kuuliwa just kwa sababu ni weusi ,hata slavery kwenye bible was legal and normal way of life,anyway these people will fight you to get their civil right na nita wasupport 100%,Europe wamekubalika na wana haki zote na more than dozen states in US wanaruhusiwa kuoana