Nilipoioona hii ngoma mara ya kwanza hata mimi nilikubali kuwa jamaa shingo feni Macho balbu! Lakini nilipoona video yake nilicheka sana. Kumbe hata ile ya waheshimiwa wabunge Badala ya spika Six kupiga kelele ilikuwa kazi ndogo tu, kuwa na clip ya video alafu tungejua ukweli ni nini?? Six ajifunze kuwa picha kama hizi ni jambo la kawaida aache kupwayuka na kuwashambulia waandishi wa habari kuwa wanatengeneza picha, aangalie je hii nayo imetengenezwa??? Picture can deceive.