Vipi Tanzania viongozi hasa Rais anapatikanaje, mfumo mzima wa uchaguzi unatoa usawa kwa vyama vyote?Obama naye ni intelectual? Huyo Obama maisha yake yote kasaidiwa na Affirmative action ambayo ni quota system USA, mpka uraisi wenyewe kaupata shauri ya quota system, kwa maana nyingine ni upendeleo maalumu wanaopewa watu weusi nchini USA, hivyo hawashindanishwi sawa na jamii ya watu wengine kama Waasia,Wazungu na wengineo!
Vipi Tanzania viongozi hasa Rais anapatikanaje, mfumo mzima wa uchaguzi unatoa usawa kwa vyama vyote?
Kwa iyo magufuli ni mkubwa intellectual zaidi ya obama
Yeah mfano kutokula rambi rambi na kutoheshim katiba ya nchi lazma wajifunze tuSio lazima ajifuze kwa obama hata jpm kuna marais wanalo la kujifunza kwake
Ungeweka kajina kako halisi kesho ungekaona kwenye list ya wateuliwaKuandika alishaandika akiwa shule nenda UDSM archives....huu ni muda wa [HASHTAG]#HAPAKAZITU[/HASHTAG]