OBAMA atalala Singita Grumeti;Soma Hapa.

OBAMA atalala Singita Grumeti;Soma Hapa.

1gb

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2013
Posts
2,389
Reaction score
3,285
Kwa Tetesi ni kwamba Rais Obama anatarajiwa kujipumzisha usiku mmoja,katika hoteli ya kifahari iliyoshika namba moja Duniani kwa miaka miwili mfululizo.Nayo ni Singita Grumet Reserve(Ipo Tanzania),Mmiliki akiwa ni Mmarekani aitwae Paul Tudor.Hoteli hii ya kifahari ipo Serengeti.Rais Obama atalala hapo akiambatana na familia yake,na wageni wachache aliofuatana nao .Obama atapanda Chopper la kivita la Kimarekani kuelekea Serengeti,ilipo Hoteli hiyo ya kifahari.Ulinzi umeimarishwa zaidi na kila kitu kihusicho ulinzi kinasimamiwa na maafisa usalama kutoka Marekani.Hoteli hii wameshawahi kufika mastaa wakubwa Duniani Kwa wakati tofautitofauti wakiwemo mastaa wanamitindo,waigizaji(Angelina Jolie na Mmewe Brad Pitt), matajiri na mabilionea(Bill Gates,Mukesh Ambani,)Mastaa wanamuziki akiwemo Jay- Z,wengne ni wanasoka na mmiliki wa timu ya mpira wa miguu ya Chelsea ya Uingereza,Roman Abramovich alipotembelea mwaka 2009.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom