Hata mwezi haujaisha walimtosaNakumbuka wakati Fulani pia Obama aliwahi taka kuwepo mabadiliko katika suala la umilikaji silaha.Kama sikosei hakuungwa mkono
chris brown kawamaindi polisiRais Barack Obama wa Marekani amesema wamarekani wote wanapaswa kuguswa na tukio la kuuawa kwa kufyatuliwa risasi watu wawili weusi wiki hii nchini humo. Obama ambaye yuko nchini Poland kuhudhuria mkutano wa kilele wa jumuiya ya kujihami ya NATO amesema kuna haja ya kufanyika mageuzi katika jeshi la polisi nchini humo.
Jumatano wiki hii mtu aliyetambuliwa kwa jina la Philando Castile mwenye umri wa miaka 32 aliuawa kwa kupigwa risasi katika jimbo la Minnesota ambapo rafiki wa kike wa mtu huyo aliyeuawa aliyekuwa naye katika gari alituma picha za tukio hilo katika mitandao ya kijamii.
Siku moja kabla mtu mwingine aliyetambulika kwa jina la Alton Sterling mwenye umri wa miaka 37 aliuawa baada ya kufyatuliwa risasi na polisi katika mji wa Baton Rouge ulioko katika jimbo la Lousiana.
Chanzo : DW
Obama alitaka kurekebisha sheria ya kumiliki silaha kwa watu bonafsi (raia wa kawaida) na sio kwa vyombo vya usalama. Hata ingepita hiyo sheria isingesaidia kitu kuzuia mauaji yanayofanywa na polisi kwa wamarekani weusi.Nakumbuka wakati Fulani pia Obama aliwahi taka kuwepo mabadiliko katika suala la umilikaji silaha.Kama sikosei hakuungwa mkono
Una maanisha kuwa alitaka Polisi wanyang'anywe silaha au?Nakumbuka wakati Fulani pia Obama aliwahi taka kuwepo mabadiliko katika suala la umilikaji silaha.Kama sikosei hakuungwa mkono
Hata huku kwetu weusi wanauawa sana...Obama alitaka kurekebisha sheria ya kumiliki silaha kwa watu bonafsi (raia wa kawaida) na sio kwa vyombo vya usalama. Hata ingepita hiyo sheria isingesaidia kitu kuzuia mauaji yanayofanywa na polisi kwa wamarekani weusi.
Pia jiulize kwa nini wamarekani wazungu hawauliwi na askari ila ni wamarekani weusi tuu? Tena hao weusi walipigwa risasi hawakuwa na silaha. Pia hutasikia adhabu yeyote kwa hao polisi kwa kuwa hakuna haki kwa weusi
Nadhani wa kuleta mageuzi ni yeye.Rais Barack Obama wa Marekani amesema wamarekani wote wanapaswa kuguswa na tukio la kuuawa kwa kufyatuliwa risasi watu wawili weusi wiki hii nchini humo. Obama ambaye yuko nchini Poland kuhudhuria mkutano wa kilele wa jumuiya ya kujihami ya NATO amesema kuna haja ya kufanyika mageuzi katika jeshi la polisi nchini humo.
Jumatano wiki hii mtu aliyetambuliwa kwa jina la Philando Castile mwenye umri wa miaka 32 aliuawa kwa kupigwa risasi katika jimbo la Minnesota ambapo rafiki wa kike wa mtu huyo aliyeuawa aliyekuwa naye katika gari alituma picha za tukio hilo katika mitandao ya kijamii.
Siku moja kabla mtu mwingine aliyetambulika kwa jina la Alton Sterling mwenye umri wa miaka 37 aliuawa baada ya kufyatuliwa risasi na polisi katika mji wa Baton Rouge ulioko katika jimbo la Lousiana.
Chanzo : DW
tena afadhali hayo yametokea USA!!ingekuwa ni tanzania tungekoma cause mtu anauliwa!!ukiwa kiherehere. Kuhoji na. Wewe. Uko hatarini!! Na mukiandamana munauliwa tena! Yaani ni tena na tena na tena.Ingekuwa ndiyo polisi wa TZ sipati picha wachangiaji wa apa jf
Alitaka suala la raia kumiliki silaha lidhibitiwe !Una maanisha kuwa alitaka Polisi wanyang'anywe silaha au?
Mkuu Jay One mhanga wa Mennisota aliyeuwawa alifanya fujo saa ngapi? Kasimamisha na Polisi kwa sababu ya kosa la gari, kasimama amemweleza ofisa wa Polisi anamiliki silaha akiwa ndani ya gari kajifunga mkanda,ofisa wa Polisi anamwambia atoe kitambulisho anapeleka mkono kutoa kitambulisho anapigwa risasi!!!! ameuwawa!!!!! na Polisi!!!!!
Hata hapa kwetu mtuhumiwa kakamatwa na Polisi yupo mikononi mwao,anaenda kuwaonyesha silaha kaficha wapi baada ya mahojiano, anaruka kutoka ndani ya gari anapigwa risasi!! anauwawa!! na Polisi!!
You don't have to be rocket engineer kujua kuna kitu hakipo sawa kwa wana usalama hao.
Mkuu nimekuelewa......TATIZO LA U.S.A: ni Umiliki wa silaha kiholela..!! Ujue Police nao ni wanadamu, wanapoenda kumkamata mtu mwenye silaha, alafu aanze kushindana au kukataa kukamatwa na police na ana silaha, HAPO NDIPO HATARI INATOKEA... sbb Police unakuta anaambiwa fulani kaleta fujo hapa na ana bunduki, kisha police wanakuja, wanatoa amri ulale chini, mikono juu, ukikataa, na una silaha WANAKUWAHI KUKUPIGA RISASI...!!
Jua, U.S.A kwa mtu kumpiga risasi police au raia ni kama mchezo tu, na police wakipata taarifa mtu fulani mkorofi ana silaha kafanya vurugu mahali, wakija hawana msalia mtume, as long wanajua una silaha na umeleta nayo vurugu kwa wananchi au hotelini au anywhere, na unataka kumpiga mtu kwa risasi, POLICE WAKIJA HAWANA CHA NN WALA NN.. WATAKUPA AMRI UJISALIMISHE...
Most of time, sbb mweye silaha unakuta ana jeuri na kujiona mbabe sbb ana bunduki.. na anaweza kukataa kusalimu amri... jua Police U.S.A wakitoa amri wanakuwa mbali kidogo na mwenye silaha, na wanajikinga na nyumba au gari zao, huku wakiongea na speaker USALIMU AMRI.... Ukikataa ndio hapo sasa...!!
Swala la kuwa na silaha mtaani U.S.A na kuitumia kutishia watu ni hatari sana.. lazima TABIA ZA BLACKS wajaribu kuacha ujinga... wengi wakorofi sana na wavivu na wengi gangstars tu... Bangi wanavuta sana, sisemi wazungu ndio sio wakorofi, ila ukilinganisha, BLACKS ni wakorofi na wahuni sana.. na kazi ujinga tu..!! Sasa akipata silaha na akiona fulani anamzingua anaanza kukutishia na ukizubaa anakupiga risasi..!!
So,once police wakipewa taarifa lazima wa respond haraka kumkamata.. ndio hapo mtu anapigwa shaba..!! Pia ukikuka black hana silaha kauawa na Police, basi ujue alikuwa hakubali AMRI YA POLISI na anashindana polisi au anataka kupigana na police..
Lazima watu wawe na discipline na bunduki.. pia kutii amri ya polisi...lazima..!!
TATIZO LA U.S.A: ni Umiliki wa silaha kiholela..!! Ujue Police nao ni wanadamu, wanapoenda kumkamata mtu mwenye silaha, alafu aanze kushindana au kukataa kukamatwa na police na ana silaha, HAPO NDIPO HATARI INATOKEA... sbb Police unakuta anaambiwa fulani kaleta fujo hapa na ana bunduki, kisha police wanakuja, wanatoa amri ulale chini, mikono juu, ukikataa, na una silaha WANAKUWAHI KUKUPIGA RISASI...!!