Obama amtembelea Papa Francesco

Unafiki wa kanisa ndipo unapoanzia hapo ilipaswa ampe live kukemea ushoga, utoaji mimba, biashara ya silaha,madawa ya kulevya.Maana hivyo vyote marekani ndiyo kinara.Ikiwezekana hata pope angekataa kukutana nae kuonyeshwa kukerwa na mambo hayo
 
Inashangaza kuona Papa anacheka na kufurahi akiwa na mtu anayesapoti Ushoga.
 
unafiki wa kanisa ndipo unapoanzia hapo ilipaswa ampe live kukemea ushoga, utoaji mimba, biashara ya silaha,madawa ya kulevya.maana hivyo vyote marekani ndiyo kinara.ikiwezekana hata pope angekataa kukutana nae kuonyeshwa kukerwa na mambo hayo
mbona yesu hakuwakimbia wadhambi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…