Obama amekuza

kaka tujipange tupeleke posa au unasemaje?
 
Kidogo wanafanania na wanyarwanda
 
Nendeni kwa Marwaa mkajifunze jinsi ya kuwarubuni watoto wa Ikulu!!!
 
Nendeni kwa Marwaa mkajifunze jinsi ya kuwarubuni watoto wa Ikulu!!!

Unatia mimba kwanza wale wa Ikulu yetu!!! Wa kule kwa wenzetu wanaolewa fresh tu. Si uliona Chelsea Clinton.
 

Watoto ni wazuri sana, halafu huyu mdogo naye kumbe anarefuka sana, ona anamfikia dada yake. They are supper tall and adorable, well mannered daughters. Keep it up Michele and Bibi who is always with the girls.
 
Such an adorable family less Mr. President. Bibi yao huyo ndiye anawalea kwa kufuata taratibu alizoziweka mwanaye Michele. They have defined routine.
 
yule mshua wao nux sana hakawii kukupa kesi

Anapenda sana mabinti zake mkuu!!! Huwa anasema wazi kabisa, hivyo mabazazi ni lazima kujipanga fureshi kabisa. Vinginevyo utakuwa Edward Snowden.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…