Obama akiwa kanisani

hajapewa nafasi aongee na waumin🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂
 
Yuko gamba mmoja eti alikuwa anamfananisha mkweree na suti zake za kutungua na hizo suti za huyo Mjaluo!!
Hapo naufyata maana sina uhakika kwani namuonaga Mkwere katika picha kama Obama (nadhani akina Riziwani au Miraji ndiyo wenye data za uhakika)
 
Wanaochangia wasipotoshe mada na uhalisia wa aliyeanzisha. Kweli binadamu hatakiwi kujikweza. Kaenda kanisani kama Obama, sio Rais. Ameamua kukaa popote. Amejenga hisia nzuri kuwa yeye bado ni binadamu kama wengine lichq ya kuwa Rais.
Kenya siasa mpaka kanisani. Rais akienda kanisani nchi nzima inajua.
 
hilo kanisa linatambua ushoga na usagaji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…