Obama akiwa kanisani

Majighu2015

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
2,936
3,958
Mkuu wa nchi yupo kanisani na wala hajakaa mbele.
obama-easter-1024.jpg

Nini maoni yako kuhusu hii picha??
 
Yuko gamba mmoja eti alikuwa anamfananisha mkweree na suti zake za kutungua na hizo suti za huyo Mjaluo!!
Hapo naufyata maana sina uhakika kwani namuonaga Mkwere katika picha kama Obama (nadhani akina Riziwani au Miraji ndiyo wenye data za uhakika)
 
Wanaochangia wasipotoshe mada na uhalisia wa aliyeanzisha. Kweli binadamu hatakiwi kujikweza. Kaenda kanisani kama Obama, sio Rais. Ameamua kukaa popote. Amejenga hisia nzuri kuwa yeye bado ni binadamu kama wengine lichq ya kuwa Rais.
Kenya siasa mpaka kanisani. Rais akienda kanisani nchi nzima inajua.
 
Back
Top Bottom