Oa mwanamke anayekupenda

Hata kama nitakufa sawa tu,lakini siyo kwa stress zitokanazo na mwanamke.hilo kwangu NEVER,nimekupenda nikagundua kumbe hunipendi!ondoka ktk maisha yangu wasalimie kabisa.sijali kuhusu hilo,sipandi mbegu bora kwenye mwamba.
 
Pia zingatia awe bikira, vinginevyo utakua retirement plan yake tu baada ya kumalizana na kila kitu.
 
UKIWA BROKE NDIO KIPINDI KIZURI CHA KUPATA MKE MWEMA

nilimpata my wife nikiwa broke infact yeye alikuwa na uchumi mkubwa kuliko mimi,TUKAANZA WOTE FROM THR SCRATCH kuna wakati tulishindia mkate na chai tu...tukatembea wote katika shida na raha ,tumetafuta WOTE juani mpaka leo tulipo ni tofauti na tulipotoka.

SO inawezekana kupata mke mwema inawezekana KUOA hata kama BADO UNAJIPANGA kiuchumi,sio usubiri Mpaka UFANIKIWE UTOBE KIMAISHA ndio UOE.

OA MWANAMKE ANAYEKUPENDA
 
 
.LOVE IS FREE
 

Attachments

  • images - 2026-08-10T194656.412.jpeg
    28.3 KB · Views: 2
  • images (47).png
    12.4 KB · Views: 2
  • images - 2026-08-10T194352.388.jpeg
    21.7 KB · Views: 2
  • images - 2026-08-10T194656.412.jpeg
    28.3 KB · Views: 2
  • images - 2026-08-10T194352.388.jpeg
    21.7 KB · Views: 2
  • images (47).png
    12.4 KB · Views: 2
Umenena vema ndugu.Wengi huwa wanajifariji kwamba wanaweza kuzinunua hisia za Upendo wa Mwanamke lakini ukweli ni kwamba huko ni kupambana kujaza maji kwenye pipa ambalo lipo wazi pande zote huku ukijidanganya kwamba litajaa tu.

Wanawake wanahusudu sana hisia zao. Ikitokea ameolewa na Mwanaume asiye na hisia naye humo ndani anakuwa anaishi kama yupo kituo cha daladala akisubiri Mume wa Ndoto zake aje. Kesi za hivi nimekutana nazo sana huku uraiani. Mwanamke anakuwa kimwili huku,kihisia yupo kwingine!. Na wengine ni wamama watu wazima kabisa lakini wapo kwenye Ndoa ambazo ni kama walijilazimisha kuolewa!

Aliyesema ubinadamu kazi yupo sahihi
 
MONEY CAN BUY SEX AS FOR LOVE IS NOT FOR SELL,NO ONE HAD EVER PURCHASED A REALY TRUE LOVE.

PESA INAWEZA KUNUNUA NGONO,PESA HAIWEZI KUNUNUA UPENDO KWA SABABU UPENDO WA KWELI HAUNUNULIKI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…