How are u ladies and gentlemen,,,,!
Jamani mwenzenu nimetoka moro ninakoishi na kwenda kumsalimia ndugu yangu anayeishi singida mjini.
Sasa leo j2 mida ya saa nne asubuhi nikiwa kwenye daladala kuelekea maeneo ya mwenge sekondari ndipo nikajikuta nimekaa siti ya pili ya daladala na huku abiria wengine wakiwa wamesimama.
Miongomi mwa abiria hao waliosimama alikuwepo dada mmoja wa ukweli na mwanaume yeyote akimuona basi lazima atataka kumwangalia tena na tena ili kutoyanyima macho yake haki ya msingi ya kuona na kutizama.
Dada ni mrefu,mwili wa wastan,kifua hakijapigwa jeki na vingine vingi.
LAKINI BAADA YA YEYE KUINUA MKONO NA KUSHIKILIA BOMBA NDIPO NIKAONA MSITU WA NYWELE KWENYE KIKWAPA CHAKE NA NI NDEFU ZAIDI HATA YA NCHI TANO.
Nilipomuuza mwenyeji wangu akaniambie eti ni 'FASHION' Sasa mi naomba nijue ukweli wa hili jambo.

Umeishapewa jibu na mwenyeji wako, so unataka kujua nini zaidi?
sasa kama haumwamini aneyfuga mwenywee, utamwamini vipi mtu mwingine ambaye hata kumuona huyo anayefuga kikwapa hajamuona!Nataka nijue kama hilo jibu nililopewa na mwenyeji wangu lina ukweli na uhalisia?
fashion hiyo mimi siitaki.kuachia nywele huko,ni kujinukisha jasho tu.
Mwanamke hatakiwi kua na nywele sehemu yoyote zaidi ya kichwani.