Nywele kuwa za rangi ya Brown

Nywele kuwa za rangi ya Brown

Dawa yake ni kunyoa mapema tu, mimi huwa ninazo nywele ambazo si nyeusi kiviile, zikiwa ndogo nyeusi zikirefuka weusi unapotea na huwa sina kawaida ya kupaka mafuta ya nywele, hata haya ya kawaida(ngozi) kupaka ni NTITI(kujisemea wamakonde) kwa ngozi namshukuru mungu nipake wese nisipake swaafi tu, kwa jiji la kwetu mwaka mzima unaweza katika sijapaka wese mwilini.

Ila nywele kidogo tu nyekundu.. Nasogea kwa mr. Kinyozi anazipunguza.
Unaona aibu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa nini usiziache?
 
Kama ana mpango wa kufuga afro awe mtu wa superblack au mafuta fulani hivi ya nywele niliwahi kuelekezwa ila sikutilia maanani sababu mie mwilini mwangu vikorombwezo vikorombwezo huwa sivizingatii. Ajaribu kuyasaka hayo.
Na nafikiri yana bei mno, sio?
 
Paka Castor oil ile nyeusi changanya na mafuta ya nazi yaliyokamuliwa kienyeji sio kama minara... Utaona tofauti kubwa tu
 
Hivi nywele kuwa za rangi ya brown ni ugonjwa au ni nini hiki.

Na huwa mnaondokana vipi na hili tatizo maana usipochana unaonekana kama mtu wa jalalani..

Kupaka superblack ndo kitu sitaki hata kujaribu naombeni ushauri
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mtu wa jalalani
 
Wala usipate tabu mkuu, anza kutumia mafuta ya nyonyo, castor oil. Hutahisi muwasho wala huo ubrown wa nywele hutauona. Unaweza kuchanganya na mafuta ya nazi pia.
Anza sasa mkuu utaleta mrejesho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila haya mambo asee, nimereview sana kuhusiana na mafuta ya asili ya nywele mtandaoni na sikumbuki yatakuwepo machache sana yaliyoacha suala la 'kufanya nywele kuwa nyeusiii'

Lakini pia vitu kama jua na joto? maana hata nguo nyeusi zinapaukaga kwenye jua unajua ee...
 
Hata mimi i had the same problem. Solution kaa ukijua sio gharama ndogo. Tafuta mafuta ya nyonyo (hakikisha ni yenyewe kwelikweli hayajachanganywa), au kama haupati tafuta mafuta yanaitwa Vatika black seed hair oil. Paka kila siku asubuh ukimaliza kuoga. Pia nunua shampoo nzuri osha nywele zako at least once per week. Kitu kingine, usioshe nywele na sabuni za kipande. Hii process itachukua at least miez 6 utaona changes
 
Dawa yake ni kunyoa mapema tu, mimi huwa ninazo nywele ambazo si nyeusi kiviile, zikiwa ndogo nyeusi zikirefuka weusi unapotea na huwa sina kawaida ya kupaka mafuta ya nywele, hata haya ya kawaida(ngozi) kupaka ni NTITI(kujisemea wamakonde) kwa ngozi namshukuru mungu nipake wese nisipake swaafi tu, kwa jiji la kwetu mwaka mzima unaweza katika sijapaka wese mwilini.

Ila nywele kidogo tu nyekundu.. Nasogea kwa mr. Kinyozi anazipunguza.
Dar es salaam hii na maji hayo ya chumvi ya Kigamboni hupaki mafuta!!!
Acha kujidanganya unaharibu ngozi paka mafuta ya nazi mwilini.
 
Dar es salaam hii na maji hayo ya chumvi ya Kigamboni hupaki mafuta!!!
Acha kujidanganya unaharibu ngozi paka mafuta ya nazi mwilini.
Acha ikufe tu, ila kwa mafuta kupaka ni ngondo igwa. Ngozi yangu nikipaka mafuta baada ya muda jasho linatiririka, at least niende mkoa wenye baridi kidoogo narashia rashia kwa juu, kuondoa kule kupauka.

Unakariri dar es Salaam, kigamboni. [emoji848][emoji1787]
 
Sema nimejuaje kama waishi Kigamboni,
Teh
 
Back
Top Bottom