Mkuu kwenye wallet kulikuwa na 10,000 moja tu na hapo chenji ni ya maandazi kesho asubuhi.Unaagiza kivivu,mbili mbili kwenye kimfuko cha 50
Hahaaa kunywa tuu kesho nakupitishia futari ya mhogo...ondoa bajeti ya maandaziMkuu kwenye wallet kulikuwa na 10,000 moja tu na hapo chenji ni ya maandazi kesho asubuhi.