Nyungo imara na zenye mvuto zinauzwa

Nyungo imara na zenye mvuto zinauzwa

anyways! kwanza karibu sana JF mkuu The hustler. new members huwa wanaanzia kusalimia wenyeji kupitia jukwaa la wageni. (tazama menu ya jf-utaona) hapo utauliza utaratibu wa kuanzisha mada/uzi/thread yako na jinsi ya kuweka viambatanisho k. v picha, link n. k huko utakuwa huru na utajibiwa kistaarabu bila kejeli wala nongwa. huku wanakuja waliokomaa na wako tyr kwa lolote. usikate tamaa mkuu, haujachelewa, piga 'reverse' ndio urudi kujipanga kwa ku-edit tangazo lako zuri. wenzangu wataongezea.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom