Nyumbu

sifa yao kuu ni kiwa waaminifu wa njia waliyo ichagua na huwafikisha waendapo japo hukutana na changamoto mfano ni mamba wakatishapo mitoni n.k

Hii ni sawa na wana ukawa walio waaminifu na jiko la mafisadi ccm wanavyo fanya hila mpaka wamemteka Dr.mihogo na kumtoa katika njia.
viva lowasa.
 
nyumbu ni wanyama wako focused sana. majani yakiisha serengeti hufunga safari ndefu yenye shida kuyafuata masai mara. hakuna kitu huwazuia kufika lengo lao hilo.naipenda sana hii documentary.

 

Pia wanamfuata aliye mbele... What if he is leading them to a trap?

Kwa hiyo ukawa ni akili za nyumbu?
 
Pia wanamfuata aliye mbele... What if he is leading them to a trap?

Kwa hiyo ukawa ni akili za nyumbu?
hawamfuati aliye mbele bali wote wanajua wanakoenda. mara nyingi dume lenye nguvu huwa mbele na siyo sababu linajua njia kuliko wengine bali sababu lina nguvu na kasi. aliye mbele akitaka kuwapeleka kwenye mtego kama walivyofanya slaa na lipumba huachwa wanase peke yao. nyumbu wengine huendelea na safari yao.
 
Nyumbu ni.mnyama wa ajabu sana, huliwa kirahisi sana na Simba ingawa simba hspendi nyama yake!
 

umhhhhhhh!!!! haya bana
 
Je nyumbu awa ufikia malengo yao? Ni ukweli usiopingika kua ufikia malengo. Leo hii umati wa watanzania wanampenda na kumkubari Lowasa ndo wanaitwa nyumbu,je ingekua ccm ndo wanapendwa leo ungewaita nyumbu?
Acha matusi ndugu maana kila mtu kuna anachokiamini.
 
Heee hivi kumbe nyumbu ndivyo walivyo...wengi,wakubwa na kichwani ...
 
Nyumbu ni wanyama zembe sana.....huwa hawafikirii......I think they use this slogan " what come may"
 


mkuu nani katukana ...? nyumbu sio tusi si hao wanyama unawaona wanaitwa Nyumbu
 
Na uzuri wao huwa wako wengi kwenye safari yao ya kutafuta wakitakacho
 
🚁 mwendo mdundo mpaka 🏰🏤🏦.
 
Ninachowapendea ni ule umoja na mshikamano wao.....hawaachani wala kutengana

Lakini pia ni fighters na Risk taker...hawakubali kufa na tai shingoni wala kuzuiwa na mipaka (moving beyond borders)....wakiona Serengeti hakuna majani wanachukua hatua ya Imani kuvuka mipaka ya hifadhi na ikiwezekana ya nchi ili kutafuta usalama na uhakika wa maisha yao kwa kupata chakula kokote.....
 

Wana uhakika na hiyo safari? Je huko wanapokwenda kama ni jangwa?
 
Wana tabia ya kufuatana hata kwenye hatari wanakufa wengi sana kutokana na ujinga.
 
Ila mm bado kichwa kinaniuma sana vijana wakimpenda mgombea wao ccm mnawaona hawajitambui tena mnatokwa mapovu hata wasomi ka Bana nae yuko mkumbo mmoja na ccm sasa mnisaidie mama zetu ambao ndo wanapata tabu ya maisha wao makishangilia ccm mbona hamsemi hawajitambui? Mm kwa mawazo yangu waache watu watake wakipendacho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…