Nyumbani ni nyumbani..............

Nyumbani ni nyumbani..............

Tony Laurent

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
6,391
Reaction score
8,294
Mkataa kwao ni mtumwa

Paradise%20Part%202%20(65).jpg
 
Hata kama nyumbani ni nyumbani..hapo chini ya jiwe kuna usalama kweli
 
haaaaaaaaaaahaaaaaaaaaahaaaaaa mdogo wangu sister umenivunja mbavu haki ya nani,we mwoga sana ehhhh?mzima lakini wewe?

Last edited by a moderator:

Mimi mzima my dada..yani ni muoga haswa..hapo sitalala nitakuwa naliwaza jiwe tu..
 
Last edited by a moderator:
Dua na sala zako zote lazima zimsihi mungu aepushe tetemeko la ardhi.
 
haaaa umeniacha hoi mdogo wangu,hivi hujamlandisha mwanangu mmoja kweli huo uoga?

Mwe inawezekana.....majuzi hapo tulikuwa tunaenda ifakara..sasa kufika mikumi dereva akawa bado yuko speed mh nikawaza nawaza hv hapa mnyama akitokea barabarani inakuwaje...yani sijamaliza kuwaza wakatokea tembo wanavuka barabarani...yani acha nilipiga kelele basi zima mpaka wakanishangaa......
 
uwiiiiiii mdogo wangu unazidi kuniacha hoi daaahhhh ulitisha aisee naona uliwaacha watu mdomo wazi?sasa nini kiliendelea baada ya hapo?

ah walinishangaa...wakawa wanasema wew dada muoga sana...hivi hata labor utaingia kweli kwa uoga huo...ah ndo ikawa topic kwenye gari...sikuwajibu nilinyamaza kimya nikaweka earphone zangu nikawa nasikiliza music...
 
dahhh pole sana mdogo wangu ila we hupishani na mama yangu na ye ni mwoga mno,mpaka akangatwe na kitu basi ujue hicho kitu kilijificha vilivyo vinginevyo humpati,hasa hasa viwavi mama yangu anaviogopaje?vipi we huviogopi?au unaogopa panya?

Back
Top Bottom