...nyumbani ni nyumbani...inabamba dah!!

duh.....kule kweyu ndio main course hii
 
kamanda..kule kwetu inaitwa mburee aka kande,unachanganya na maziwa afuu aunaenda kuchunga kagojii na bujii i miss those life chomee shengenaaa
Hii kitu inaitwa ngati kule kwetu.
Hiyo ni 4WD katika vyakula.
Ukitaka kulima, ukila hiyo njaa mpaka jioni. Katika misiba na sherehe ipo kwa wingi.
 
mangararimu.makukukuru aka roshoroo,upareni makande
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…