Nyumba zinauzwa sinza kumekucha

Nyumba zinauzwa sinza kumekucha

MARILYN

Member
Joined
Feb 23, 2011
Posts
96
Reaction score
15
NI nyumba mbili ziko kwenye plot moja kubwa, zimetenganishwa na fensi, kila moja ina eneo kubwa kwaajili ya parking, kila nyumba ina master bed room moja, vyumba vingine vitatu vya kulala, jiko, sitting room na dinning room kubwa, ziko sinza kumekucha kARIBU NA FINE TRAVELLERS HOTEL, eneo ni kubwa na liafaa hata kwa biashara kama kujenga hotel
 
Aisee mbona maela mengi sana mkuu?
Wa Tz, mbona majority walala hoi?
 
NI nyumba mbili ziko kwenye plot moja kubwa, zimetenganishwa na fensi, kila moja ina eneo kubwa kwaajili ya parking, kila nyumba ina master bed room moja, vyumba vingine vitatu vya kulala, jiko, sitting room na dinning room kubwa, ziko sinza kumekucha kARIBU NA FINE TRAVELLERS HOTEL, eneo ni kubwa na liafaa hata kwa biashara kama kujenga hotel...bei ni mill 400 maelewano yapo.kwa mawasiliano piga 0714133562

Umesema sh. million ngapi vile?
 
Ndozile zilizopo kwenye list ya burn ya mama Tibaijuka??open space??haya mkuu kila la heri.
 
Huu utani huu, nyumba famba hizo Million 400??
 
attachment.php

Hii picha ni kama ilipigwa kabla ya Mafuriko.
Hebu weka picha ya baada ya dhahma
 
najuta kwa nini nimefungua hii thread, mamilioni yote hayo na we yako dalali zaidi ya 50%
 
Hayo siyo nyumba zilizojengwa kwenye open space?
 
haziko kwenye open space na wala mafuriko hayoko eneo hilo, kuhusu bei hiyo i kianzio ndo mana nikasema maelewao yapo, aliye serious anipigie tufanye biashara, eneo ni very hot cake kwa wenye kuijua sinza vizuri,kuhusu hela ya udalali hiyo ni swala la mwenye nyumba na dalali mnunuzi wala hallipi chochote...
 
NI nyumba mbili ziko kwenye plot moja kubwa, zimetenganishwa na fensi, kila moja ina eneo kubwa kwaajili ya parking, kila nyumba ina master bed room moja, vyumba vingine vitatu vya kulala, jiko, sitting room na dinning room kubwa, ziko sinza kumekucha kARIBU NA FINE TRAVELLERS HOTEL, eneo ni kubwa na liafaa hata kwa biashara kama kujenga hotel...bei ni mill 340...kwa mawasiliano piga 0714133562

Yesu Maria na Yosefu!!
 
Attractive your clients with a -
* 3d image of your house.
* Realistic look
* With floor plan .

Contact me if interested
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom