bei ni Tshs 200,000/= kwa mwezi kwa miezi sita.mahali ni mbezi ya kimara, unashukia kituo kinaitwa mbezi mwisho unaingia ndani km 2.5 na dala dala zipo kutokea hapo mbezi mwisho na unashukia "makabe kwa mzungu". my hope I made it so clear,ni pm kama upo interested seriously.
Haina dalali, mimi ni muhusika wa hiyo nyumba. Hamna middleman hapa so no need to worry here atlast. Wenye nia ya dhati kupanga karibuni
bei ni Tshs 200,000/= kwa mwezi kwa miezi sita
mheshimiwa dalali at work!
muwe mnalipa basi hata commission hapa Jf kwa matangazo yenu, mbona nyie hamumpeleki mteja kuoina nyumba hadi "awafungue miguu"? eti wengine mnaita hela ya usumbufu, usumbufu wakati ndiyo kazi yako! huo ndio wizi wa mchana kweupe!
hahahaaa
umenikumbusha enzi nikiwa napanga. ikiisha hiyo kjiezi 6 ilikuwa kizunguzungu kwelikweli, mwenye nyumba alikuwa anabip kila baada ya sekunde 2! maisha ya kupanga bongo sitakaa nitamani tena. all the best kwa ambao hamjajenga vibanda dsm, mali hiyo live!
chamngamkieni!!
View attachment 47344 View attachment 47345 View attachment 47346
maelezo: Iko ndani ya fensi, ina vyumba viwili, sebule, jiko la ndani na choo cha ndani.ina sakafu ya tiles,
madirisha ya aluminium. Kuna tenki kubwa la maji ndani la lita 10,000, maji si tatizo. Usalama ni
mkubwa, iko pahali tulivu kabisa.parking ipo na kubwa. Ni mpya.
Mahali : Mbezi makabe kwa mzungu, unashukia mbezi mwisho na kuingia ndani kiasi.
Piga simu na. +255 653 777 655, +255 652 752 032 , +255 762 986 611
wewe kumbe hujamsikiliza january makamba na hoja binafsi