Angalia maeneo hapa chini then sema unataka eneo gani. Maeneo yote ya Dodoma Mjini na maeneo yanayoizunguka ni Hot cake.Tupe projection costs za viwanja na maeneo yake respectively.
Polepole KIongozi, hapa Tunazungumzia Makao makuu ya Nchi-Dodoma na sio Iringa .
30,000/= per sqm
30,000/= per sqm
dah,,bei nafuu sana,kwahiyo nikihitaji sqm 10,nalipa 300,000 tu...!!.30,000/= per sqm
10Sq ni za kujenga mnara wa simu ai nyumba?dah,,bei nafuu sana,kwahiyo nikihitaji sqm 10,nalipa 300,000 tu...!!.
Ngoja nna laki tatu hapa haina kazi ntakuja nunua kiwanja
Ahhahahahahahaa mkuu umenichekeshaa balaaa..Taratibu mkuu, Dodoma mbona bado sana??