Nyumba za wabunge wa upinzani zashambuliwa, mojawapo ni ya Bobi Wine

Kunguru Mjanja

JF-Expert Member
Aug 22, 2012
2,036
3,929
Vitu vinavyokisiwa kuwa guruneti vimetumiwa kushambulia nyumba za wabunge wawili wa upinzani nchini Uganda, mmoja wao akiwa ni mwanamuziki ambaye sasa ni mbunge Bobi Wine, kwa mujibu wa gazeti la Daily Monitor la nchini humo.

Polisi sasa wanachunguza mashambulizi kwenye nyumba za Bobi Wine ambaye jina lake kamili ni Robert Kyagulanyi, anayewakilisha eneo la Kyaddondo West na Allan Ssewanya ambaye ni mbunge wa Makindye West.

Mashambulizi hayo yalifanyika mapema Jumanne.

Wiki iliyopita shambulizi liliripotiwa kwenye nyumba na mbunge mwingine Moses Kasibante ambaye ni mbunge wa Rubaga North.

Kwenye ujumbe kupitia mtandao wa Facebook, Bobi Wine alisema kuwa hakuna mtu aliyejeruhiwa nyumbani kwake

Amesema amekuwa akipokea vitisho vya kuuliwa karibu kila siku.

Gazeti la New Vision lilisema kuwa wabunge ambao nyumba zao zilishambuliwa ni badhi ya wale waliotimuliwa bungeni kufuatia ghasia wakati wa mijadala kuhusu kuondolewa kwa umri wa kuwania urais.
 
Bobi Wine.

TAARIFA kutoka nchini Uganda zinasema shambulio la bomu la kutupwa na mkono limepiga kwenye nyumba mbili za wabunge wawili wa upinzani nchini humo.

Taarifa zinasema kwamba nyumba za wabunge hao wawili ni pamoja na Mwanamuziki Robert Kyagulanyi (Bobi Wine) ambaye amesema kwamba shambulio hilo lilikuwa likimlenga yeye kwa kile alichosema kupingana na chama tawala ambacho kinataka kubadilisha katiba na kutokuwa na kikomo cha umri wa kuwania urais wa nchi hiyo.

Aidha Mbunge Bobi Wine amesema amekuwa akipokea vitisho vya kuawa takribani kila siku kwa sababu ya kupinga kwake katika mjadala unaoendelea wa kuondoa kikomo cha umri katika kuwania urais nchini Uganda.

Hata hivyo Polisi sasa wanachunguza mashambulizi kwenye nyumba za Mbunge Bobi Wine ambaye anayewakilisha eneo la Kyaddondo West na Allan Ssewanya ambaye ni mbunge wa Makindye West.

Gazeti la New Vision limedai kuwa wabunge ambao nyumba zao zilishambuliwa ni badhi ya wale waliotimuliwa bungeni kufuatia ghasia wakati wa mijadala kuhusu kuondolewa kwa umri wa kuwania urais.

Bobi Wine amethibitisha kwa kusema kuwa hakuna mtu aliyejeruhiwa nyumbani kwake hata baada ya shambulio hilo.

Wabunge Kyagulanyi na Allan Ssewanyana wamesema nyumba zao zilitetemeshwa na mlipuko huo na madirisha kuvunjika kutokana na mlipuko huo. Msemaji wa serikali amekanusha serikali kuhusika na shambulio hilo.

Muungwana
 
kabombe TumainiEl mkuje huku mtume salaam za pongezi
 
Kuna evolution inataka kutokea kwenye nchinza east africa?

Wale walevi wa madaraka wa west africa naona wanahamia huku.

Madikiteta wanabadilika wanakuwa na roho mbaya .
Kwa nini? Kuna nini?
 
Duuu niliona bunge la Uganda ,,halaf ikulu yao ipo pale mjini,museven haishi ikulu kamuachia mwanae aishi pale ye anaisho entebe eti kisa anaogopa kuna watu wanataka kumvamia
 
Huu mtiti uliotokea hapa noma, sema kaukumbi kao ka Bunge kamebana sana

Bobi Wine.

TAARIFA kutoka nchini Uganda zinasema shambulio la bomu la kutupwa na mkono limepiga kwenye nyumba mbili za wabunge wawili wa upinzani nchini humo.

Taarifa zinasema kwamba nyumba za wabunge hao wawili ni pamoja na Mwanamuziki Robert Kyagulanyi (Bobi Wine) ambaye amesema kwamba shambulio hilo lilikuwa likimlenga yeye kwa kile alichosema kupingana na chama tawala ambacho kinataka kubadilisha katiba na kutokuwa na kikomo cha umri wa kuwania urais wa nchi hiyo.

Aidha Mbunge Bobi Wine amesema amekuwa akipokea vitisho vya kuawa takribani kila siku kwa sababu ya kupinga kwake katika mjadala unaoendelea wa kuondoa kikomo cha umri katika kuwania urais nchini Uganda.

Hata hivyo Polisi sasa wanachunguza mashambulizi kwenye nyumba za Mbunge Bobi Wine ambaye anayewakilisha eneo la Kyaddondo West na Allan Ssewanya ambaye ni mbunge wa Makindye West.

Gazeti la New Vision limedai kuwa wabunge ambao nyumba zao zilishambuliwa ni badhi ya wale waliotimuliwa bungeni kufuatia ghasia wakati wa mijadala kuhusu kuondolewa kwa umri wa kuwania urais.

Bobi Wine amethibitisha kwa kusema kuwa hakuna mtu aliyejeruhiwa nyumbani kwake hata baada ya shambulio hilo.

Wabunge Kyagulanyi na Allan Ssewanyana wamesema nyumba zao zilitetemeshwa na mlipuko huo na madirisha kuvunjika kutokana na mlipuko huo. Msemaji wa serikali amekanusha serikali kuhusika na shambulio hilo.

Muungwana
Duuh upinzan sio uadui
 
3de5e0707c2ddeb3293fdb8205b908d3.jpg

Back
Top Bottom