Nyumba za kuelea wakati wa mafuriko

Nyumba za kuelea wakati wa mafuriko

Black Sniper

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
35,279
Reaction score
61,241
1400405913883.jpg
 
dah nzuri hapo unaweza kuishi baharini bla was was na usipate usumbufu wa majiran
 
Hapo ujue dengua zitakuwa zako muda wote

nani anapenda kuelea kwenye maji ......

Hahahahahahahaha!!!!!
 
Ziko bomba ila kwa tz ukijenga utafuatwa na mali ya sili

Wajenzi ni Holland na waingereza wanataka kununua ili waweke kwenye sehemu za mafuriko zaidi yaani zinaelea wakati wa mafuriko tu
 
Ziko bomba ila kwa tz ukijenga utafuatwa na mali ya sili

Kwa akili yako unadhani ni gharama ndogo kuzijenga, ingekuwa hivyo nadhani marekani wangekuwa wameshajengea watu wote wanaoishi kwenye dhoruba
 
Ooyooo hii kwa hapa bongo ni nzuri sana hasa huku kwetu uswahilini maana kukirudi tu kazini na umebeba kiloba cha mkaa basi tatizo ni muda mfupi mara hodi anaanza jirani nyazime kidogo kamkaa leo mambo si mambo basi hapo tena hautakuwa na raha mara chumvi na kibiriti mara hiki na kile yaani ni kerro tuu na bado umbea wa chini kwa chini lakini haya yote ni maisha ya mwanadamu isipokuwa tujirikebishe na hizi hulka na kuishi na watu ni kazi
 
Back
Top Bottom